MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #101
Precisely.Bogus excuse!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Precisely.Bogus excuse!
Kwahiyo anayeisifia Britain nae ni lazima awe Briton kama ambavyo Akili yako ya Kiuwendawazimu inavyokuongoza?We utakuwa myarwanda
Yuko tu dunia ya Cretins wengi ya Kwao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko uko dunia gani?
Chungulia salary scales in Rwanda ulinganishe na zenu! Watumishi mishahara ipo vizuri wana earn twice of what Tanzanians earn per annum!Ni vizuri tukajifunza kutoka kwao, kwanza Watumishi wao wa Umma wana nidhamu sio wapigaji wa Mabilioni kama hawa wa kwetu.
Halafu hawana matamko ya Ovyo ovyo kama hawa wabahatishaji wa kwetu.
Aliyekuambia Mimi nipo Tanzania nani?Ni kama ninyi tu watutsi mnavyokubaliana na kujiona ninyi ndio watu daraja la kwanza wengine wote kenge, watu nyie, afu mkome kujikosha humu jf na kiwilaya chenu hicho Rwanda,, kama kuzuri mbona hamuondoki mnakomaa hapa bongo
Wewe Nani mnawachukia? Sijawahi wachukiaRwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly.
Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the beneficiaries and collecting necessary data.
Beneficiaries can call a toll-free number or consult community health workers nearby to get the vaccine.
Dr Tharcisse Mpunga, Minister of State in Charge of Primary Healthcare, said that the reason for delivering the vaccines for vulnerable people to their homes was due to the high demand for jabs by young people.
"The demand for the vaccine is very high, especially by young people. We do not have enough vaccines to inoculate 60 percent yet, so we started with those at risk. We are hoping to get more vaccines to reach more people," Dr Mpunga said.
According to the Ministry of Health statistics, 60 percent of Covid-19 deaths are people above the age of 60.
The current mass vaccination targets people aged 40 and above, pregnant and nursing mothers, and other people with conditions that predispose them to serious illness.
Source: Rwanda: Govt Launches Door-to-Door Covid-19 Vaccination for Vulnerable Groups
Badilisha kichwa cha habari, hizo Ni hisia zako binafsi ModNchi ambayo imetoka Kuchinjana na Kuuana kwa GENOCIDE leo hii Kutulia na kuja na Mikakati kabambe ya Kimaendeleo katika nyanja mbalimbali za Kimaisha kama hivi ni Jambo la Kupongeza na ikiwezekana hata Mataifa mengine Jirani na Makubwa yaliyowekeza zaidi katika Majungu, Upuuzi na Ujuha nayo yana cha Kujifunza kutoka kwa Rwanda.
We si wingilymana unakaa manzese kwa mfuga mbwa japo huku umebadili jina unajiita joseph,,, afu nyie watutsi mnajiona mna akili nyingi sana ila sie tunawachora tu mjue,, kama hicho kiwilaya chenu cha Rwanda kizuri si muende na sio kukisifia humu utadhani labda haven,,Aliyekuambia Mimi nipo Tanzania nani?
Vipi umesahau Kunywa leo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili unaokutesa kwa muda mrefu sasa?We si wingilymana unakaa manzese kwa mfuga mbwa japo huku umebadili jina unajiita joseph,,, afu nyie watutsi mnajiona mna akili nyingi sana ila sie tunawachora tu mjue,, kama hicho kiwilaya chenu cha Rwanda kizuri si muende na sio kukisifia humu utadhani labda haven,,
Braza, umeandika 'tunawachukia.' tu' Ni kiambishi Cha wingi. Badilisha weka 'ninawachukia' usiwasemee wanaume, na wadada wenzako wa kihutuAnzisha thread yako uweke Kichwa cha Habari chako ukitakacho na siyo kunipangia nini cha Kuandika hapa kwani huna Mamlaka hayo bado na hutokuwa nayo pia sawa?
Roho zenu za kidwanzi hizo ndo mana mnadundanaga wenyewe kwa wenyewe,,Vipi umesahau Kunywa leo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili unaokutesa kwa muda mrefu sasa?
Hogwash...!!!Roho zenu za kidwanzi hizo ndo mana mnadundanaga wenyewe kwa wenyewe,,
Tuheshimiane wingilymana usiniandikie kinyarwanda, andika kiswahiliHogwash...!!!
kizazi cha laanaKwahiyo anayeisifia Britain nae ni lazima awe Briton kama ambavyo Akili yako ya Kiuwendawazimu inavyokuongoza?
Cha Koo zako zote Mbili au?kizazi cha laana
Wewe usilinganishe ka nchi na nchi. Tanzania unalinganisha na Rwanda ? Hauko serious kabisa.hako nchi sawa tu na mkoa wa Geita leo unalinganisha na TZ yetu ? Umekosa kazi ya kufanya pole sana.Rwanda has launched door-to-door Covid-19 vaccinations for vulnerable groups, including the elderly.
Local leaders and community health workers will facilitate nurses by allocating the beneficiaries and collecting necessary data.
Beneficiaries can call a toll-free number or consult community health workers nearby to get the vaccine.
Dr Tharcisse Mpunga, Minister of State in Charge of Primary Healthcare, said that the reason for delivering the vaccines for vulnerable people to their homes was due to the high demand for jabs by young people.
"The demand for the vaccine is very high, especially by young people. We do not have enough vaccines to inoculate 60 percent yet, so we started with those at risk. We are hoping to get more vaccines to reach more people," Dr Mpunga said.
According to the Ministry of Health statistics, 60 percent of Covid-19 deaths are people above the age of 60.
The current mass vaccination targets people aged 40 and above, pregnant and nursing mothers, and other people with conditions that predispose them to serious illness.
Source: Rwanda: Govt Launches Door-to-Door Covid-19 Vaccination for Vulnerable Groups
Tujadili African countries kulingana na uchumi wetu na jiografia.China ni ndogo kama Rwanda?
Hata Hapa kama akatokea kidume akayafanya kama alivofanya Paul Kagame basi basi hii nchi itakuwa Pepo watanzania hawajali raisi atakaa muhula gani lkn wanachojali ni maendeleo tu .Paul Kagame alikijua anachotaka ndio maana leo Rwanda inapaa katika anga za kimataifa na kuipata itachukua 100 yrs kwa Tz .Nchi ambayo imetoka Kuchinjana na Kuuana kwa GENOCIDE leo hii Kutulia na kuja na Mikakati kabambe ya Kimaendeleo katika nyanja mbalimbali za Kimaisha kama hivi ni Jambo la Kupongeza na ikiwezekana hata Mataifa mengine Jirani na Makubwa yaliyowekeza zaidi katika Majungu, Upuuzi na Ujuha nayo yana cha Kujifunza kutoka kwa Rwanda.