Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

Hata kutokee nini, sirudi kuweka makazi yangu Tanzania

Baki hukohuko utumwani ndugu yangu....si tunapambana kuijenga nchi yetu hivyo hivyo kibishi bishi...

Hata huko unakowasifia walipata taabu hivihivi babu na bibi zao kujenga nchi zao, unafikiri huko uliko mwaka 1820 hawakuwa maprimitive?.... primitive stages kila Taifa linapitia na limepitia na wananchi husika walipambana kuuondoa huo uprimitive sasa wewe umekuta mteremko huko watu wamepambana unafurahia matunda baada ya wewe nawe kupambana kuondoa uprimitive kwenye Taifa lako ili wajukuu zako wafurahie matunda....

tusipende sana kufurahia matunda na urithi wa wengine walioachiwa na mababu zao huku wenyewe tukikwepa majukumu yakujenga nchi kwa manufaa ya wajukuu zetu..... ndio wazungu wanatudharau tunavyoenda kwao na kuleta ujuaji...
Ukipambana wewe na hao primitive wenzako hapo Lumumba inatosha.
 
Hata siku wazazi wangu wakiamua kurudi Tanzania mimi siwez kurudi. Sirudi kamwe hata kutokee nini sirudi kuja kueka makaz yngu Tanzania.

Siwez kunufaisha watu wavivu, wajinga wasiofanya kazi km inavotakiwa ila kla mwisho wa mwezi kwa kutumia kodi yng wanavimbisha matumbo na familia zao kila sku.

Bora nionekane sio mzalendo lakini pesa yangu ina thamani kubwa sana haiwez kutumika kizembe. Pesa yangu hawezi kulipa watu wasiofaa kulipwa au kufanyiwa vtu vya kipumbavu vsiokua na manufaaa kwa raia wote wa Tanzania kwa pamoja. Pesa yangu sichumi kwenye mti hivo haiwezi kutumika kizembe tu.

Bora niendelee kunufaisha wazungu mana wao wanatumia vizuri kodi, kla siku maendeleo yanaonekana na mimi nanufaika na maendeleo hayo. Lakini sio serikali ya Tanzania na utumiaji wake wa hovo kodi za wananchi.

Kuna mda ukifika ntabadilisha kabsa uraia...👀
Ndugu yangu,your name is your name,tupeane mchongo upo chimbo gani,tutafiti uwezekano wa kuunga mguu,kucheck mafursa huko?
 
Usirudi tu maanake tunampango wa kuwarudisha tuliowatoa kwa vyeti feki,tunawapandisha mishahara na madaraja!
mkuu nukutoe kwa mada kidogo,
ni kweli wana mpango wa kuwarudisha wenye vyeti feki au unamjaza upepo huyu dogo tu hapa
 
mkuu nukutoe kwa mada kidogo,
ni kweli wana mpango wa kuwarudisha wenye vyeti feki au unamjaza upepo huyu dogo tu hapa
Mkuu uko nchi gani? Tunawarudisha na kuwalipa stahiki zao zote. Pesa ipo,tozo inatosha.
 
Huwezi amini wivu huleta chuki, na chuki ni jambo baya sana .. hakika nimeshuhudia kupitia hizi comment.

Mkuu upo sawa na mawazo yako yaheshimiwe..
Me nimeona umejaribu kuongea kwa uchungu kuhisu serikali na matumizi ya hovyo ya kodi za wananchi.. lakini naona watu wanakuattack wewe personally badala ya kujibu hoja..

Cha kushangaza wakishafanya matumizi ya hovyo anakuja kiongozi kuja kushangaa imekuwaje huu mradi umekuwa hivi ... mara imekuwaje mmejilipa posho kiasi hiki ... na bla bla kibao na hakuna litakalo fanyika..

Failed State!
 
Back
Top Bottom