sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa,
Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu.
Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza uliminywa sana, kumkosoa kidogo tu unatafutwa na defenda 7, ukabila na ukanda ulikuwa wazi wazi chato ilikuwa inapendelewa wazi wazi, n.k
Kwa saa hizi twendeni tu na huyu mama.
Nina mategemeo makubwa kwamba muhula wake wa pili 2025 - 2030 ana jambo lake kuhusu katiba, kwa huu muhula wa kwanza bado ni mapema mno kuibua hili jambo linaloweza kuigawa mno CCM.
Kwa sasa ajira zimeanza kurudi, Mji utasafishwa hao machinga wapelekwa sehemu maalum maana haiwezekani mtu alipie kodi ya frem yake milioni halafu wewe uende mbele yake umzibe achilia mbali wanavyochafua jiji na kuvnja sheria za mipango miji.
Twendeni na huyu huyu Samia, Sijaona mbadala kwakweli tuirudi na type za Magu.