2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Sina nia mbaya na brand ya Mo ila najaribu kusema tu hata Manara angekuwa anatangaza biashara za huyu Mdosi bado hali ingekuwa mbaya tu sababu tatizo sio ubalozi bali ni ubunifu.
Azam ni mbunifu sana ameajiri wataalamu na washauri wa biashara kitu ambacho Mo hana. Mo anatembelea nyota ya azam, anasubiri azam atoe yeye akatoe kopi sa atapataje pesa?
Biashara pekee inayompa Mo faida ni Mo extra tu tena sababu tunakunywa sisi mashabiki wa Simba.
Aje mtu ananimbie Mo aliwahi kubuni biashara gani ikawa mpya sokoni?
Fursa ziko nyingi, aanze hata na juisi ya muwa huenda ikampa faida.
Mimi ni 🦁 lakini Mo ana roho ya kihindi sana.