change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 729
- 1,559
Bakhressa ni tajili ila bado hajamfikia MO! Kwasababu zifuatazo: MO anazalisha na kusafilisha asilimia 16 ya chai yote inayouzwa nje,ndie muuzaji wa korosho number moja nje ya nchi, ndie mzalishaji wa katani number moja hapa bongo, ana kampuni kubwa ya kusambaza mafuta ya petrol africa mashariki,ana viwanda vitatu vikubwa vya kuzalisha vitenge,kanga mashati,Sina chuki na Mo na nipo upande wake,ila kwenye swala la ubinifu nakuunga mkono mtoa mada.hata Mo kusemwa kuwa ni tajiri zaidi ya Backhresa linanitia mshaka makubwa.
Ana kampuni ya vifaa vya electronic ya MOelect,ni msambazaji wa bidhaa za LG Africa mashariki,ni msambazaji wa bidhaa za Bajaji Africa mashariki,
Anamiliki kampuni ya africarry ambao ndio wanaouza mabasi ya Eicher hapa bongo, ana kampuni ya Aone wazalishaji wa vinywaji baridi,na kampuni ya maisha bottles nao ni wazalishaji wa vinywaji baridi pia,ana kampuni ya kuuza matrekta africa mashariki,ni mmoja wa wasambazaji na wauzaji wa mbolea Africa mashariki,ana kampuni ya usagishaji ya sembe,ngano,ndie muagizaji mkubwa wa mafuta ya kula hapa nchini, bado ndie anaenunua sukari asilimia 70 ya viwanda vya mtibwa na kiwanda cha sukari Moshi, Moshi anauza betri,viberiti,tambi za kula,pipi biscuits ana kampuni ya bima nk ukisikia forbers wana mtaja mtu kuwa ana pesa,ujue hawapepesi macho.