Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masoda yake mengi kaweka ujazo tu ila hakuna kitu. Twist inauza kuliko mo soda kwa sasa fanya uchunguzi mdogo mwenyeweKwa sasa ana MO malta,ambayo SSB alikuwa nayo 2013 mpaka 2015 ikafanya vizuri sokoni.
Huyu mhindi ana tabia za kichaga sana yaani.
Manara tumemjulia simba, ambayo si mali ya MO.Nimeona Mo anshambuliwa sana.Amenza kushambuliwa na Manara lakini baadae naona watu wa insta mpaka mange nao wameunga mkono katika mashambulizi.
Jambo moja ni kuwa Mo ni mfanya biashara na pamoja na mapenzi yake kwa simba bado asili ya mfanyabiashara kulenga faida ipo.
Unapowekeza 20b kisha kuna mtu anataka kuvuruga ina maana anahatarisha uwekezaji wako,hakuna tajiri atakayekubali hilo.
Azam walirusha mahojiano ya Manara na Mo lakini pia Azam na Mo ni washindani wa kibiashara (????).
Kwa muda mAnara atapta siafa na umaarufu kwa alichokifanya lakini kwa muda mfupi sana na baada ya hapo atapotea kabisa.
Kuna yale mengine yana harufu kalii, anayaita MO pineapple na portelo.Masoda yake mengi kaweka ujazo tu ila hakuna kitu. Twist inauza kuliko mo soda kwa sasa fanya uchunguzi mdogo mwenyewe
Mhuni tu, kuna madogo nilikuwa nawaambia sehemu wakawa wanawaka eti ooh wewe shabiki wa yanga ndio maana.Ni mwekezaji kwenye timu yangu lakini ni mpigaji balaa
Ww unamjua anaeshindana nae kwenye sekta hizo??Angalia anashindana na nani?
Hao madogo waambie wajiweke kwenye nafasi ya manara watakubali kupokea 700k waache 10Ml? Utakuwa umelogwa labda,nampenda mo ka mwekezaji Simba ila tabia zake sizipendi na sio rafikiMhuni tu,kuna madogo nilikuwa nawaambia sehem wakawa wanawaka eti ooh wewe shabiki wa yanga ndio maana.
Mnakumbukaaaaaaaa,,,,,, Haji alivyojifanya msemaji wa familia wakati MO alivyotekwa?Sina nia mbaya na brand ya Mo ila najaribu kusema tu hata Manara angekuwa anatangaza biashara za huyu Mdosi bado hali ingekuwa mbaya tu sababu tatizo sio ubalozi bali ni ubunifu.
Azam ni mbunifu sana ameajiri wataalamu na washauri wa biashara kitu ambacho Mo hana. Mo anatembelea nyota ya azam, anasubiri azam atoe yeye akatoe kopi sa atapataje pesa?
Biashara pekee inayompa Mo faida ni Mo extra tu tena sababu tunakunywa sisi mashabiki wa Simba.
Aje mtu ananimbie Mo aliwahi kubuni biashara gani ikawa mpya sokoni?
Fursa ziko nyingi, aanze hata na juisi ya muwa huenda ikampa faida.
Mimi ni [emoji881] lakini Mo ana roho ya kihindi sana.
Mkuu kwani wewe hupendi utajiri hadi umshauri MO kuuza juisi ya miwa, kwanini wewe usiuze ili uwe kama Azam, au ndio sizitaki mbichi hizi, leo unamtetea takataka kisa kafukuwa kazi na unamuona mbaya kisa takataka.Sina nia mbaya na brand ya Mo ila najaribu kusema tu hata Manara angekuwa anatangaza biashara za huyu Mdosi bado hali ingekuwa mbaya tu sababu tatizo sio ubalozi bali ni ubunifu.
Azam ni mbunifu sana ameajiri wataalamu na washauri wa biashara kitu ambacho Mo hana. Mo anatembelea nyota ya azam, anasubiri azam atoe yeye akatoe kopi sa atapataje pesa?
Biashara pekee inayompa Mo faida ni Mo extra tu tena sababu tunakunywa sisi mashabiki wa Simba.
Aje mtu ananimbie Mo aliwahi kubuni biashara gani ikawa mpya sokoni?
Fursa ziko nyingi, aanze hata na juisi ya muwa huenda ikampa faida.
Mimi ni 🦁 lakini Mo ana roho ya kihindi sana.
Pamoja na uwekezaji huo bado anashida insta kujibishana na watoto tena maskini? Huo uwekezaji tunaanzaje kuamini zaidi ya ujanja ujanja tu.Ww unamjua anaeshindana nae kwenye sekta hizo??
Yeye ndo kimara kwenye hizo sekta zamazao yabiashara tz kwenye mkonge pekeake anamiliki Hector 90,000, unajua heka 1 inatoa kias gani chamkonge???
Unaijua bei ya kilo 1 yamkonge kwenye soko ladunia??
3 bora yamazao yakilimo ya biashara yanaipatia tz fedha zakigeni ni korosho chai na mkonge, kwa afrika nzima tz ndoinaongoza kuuza mkonge dunian namoo anaweza kuwepo kwenye 5 bora ya supplier wa mkonge kutoka Africa. Kama unahis Hana wataalam nawashauri wabiashara ujue ww nikichaa
Hata uyo Bakharesa ukienda kwa wafanyakazi wake wote ukiambiwa mishahara anayowalipa utashangaa na kusaga meno,Jamani hao wafanyabiashara tuwaache na maisha yao sie tufaiti kivetu vetuHao madogo waambie wajiweke kwenye nafasi ya manara watakubali kupokea 700k waache 10Ml? Utakuwa umelogwa labda,nampenda mo ka mwekezaji Simba ila tabia zake sizipendi na sio rafiki
Unaikataa mo passion leoMasoda yake mengi kaweka ujazo tu ila hakuna kitu. Twist inauza kuliko mo soda kwa sasa fanya uchunguzi mdogo mwenyewe
Sina mtaji ningeuza ila yeye ana hela lakini hana plan wala mawazo najaribu kumsaidia aache kukopi na kulalamika hapati faida.Mkuu kwani wewe hupendi utajiri hadi umshauri MO kuuza juisi ya miwa, kwanini wewe usiuze ili uwe kama Azam, au ndio sizitaki mbichi hizi, leo unamtetea takataka kisa kafukuwa kazi na unamuona mbaya kisa takataka.
Umenena vyema kaka, watu wamejikita kwenye kumuhurumia manara lakini jiulize what if Manara angepewa mkataba anaoutaka yeye? That means Mo asingekua "muwekezaji mjanjamjanja", simba isingekua kama " timu ya sudan", babra asingekua "nyoka mwenye sumu" mo asingekua "mhindi"Nimeona Mo anshambuliwa sana.Amenza kushambuliwa na Manara lakini baadae naona watu wa insta mpaka mange nao wameunga mkono katika mashambulizi.
Jambo moja ni kuwa Mo ni mfanya biashara na pamoja na mapenzi yake kwa simba bado asili ya mfanyabiashara kulenga faida ipo.
Unapowekeza 20b kisha kuna mtu anataka kuvuruga ina maana anahatarisha uwekezaji wako,hakuna tajiri atakayekubali hilo.
Azam walirusha mahojiano ya Manara na Mo lakini pia Azam na Mo ni washindani wa kibiashara (????).
Kwa muda mAnara atapta siafa na umaarufu kwa alichokifanya lakini kwa muda mfupi sana na baada ya hapo atapotea kabisa.
Kma huamin niwewe Ila kwa taarifa za serikali nikua jamaa anachangia 3.5 % yapato lataifa lote.Pamoja na uwekezaji huo bado anashida insta kujibishana na watoto tena maskini? Huo uwekezaji tunaanzaje kuamini zaidi ya ujanja ujanja tu.
Kapelelza mauzo ya Mo energy na Azam energy,kisha tuendeleeAcheni kufananisha Mo na Bakhresa, ni vitu viwili tofauti.
Bakhresa kazaliwa kariakoo kaanza kifanya biashara kariakoo, anajua watu wanataka nn.
Mo kazaliwa singida kaja mjini juzijuzi tu, na biashara zinazomtoa no zile za kuuza mazao tu hizo nyingine anakopi hana lolote.
Wenzake, wanaexperiencw kubwa na maisha yeye hana experience amaforce tu.
Mm nashindwaga kuuelewa ubilionea wake unatokea wapi?
Sipo upande wowote ule ila kuna kitu naomba ukielewe,Bakharesa makampuni yake ni Group of Company itmeans makampuni yake mengi ni ya ubia huenda kuna watu nao wanaweka mzigo kupitia jina lake,Kwa Mo kinachomuweka juu ni Enterprises makampuni yake yote yaani kiufupi biashara zake zote ni zake yaani ni (Sharesholder)Acheni kufananisha Mo na Bakhresa, ni vitu viwili tofauti.