Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

Unaleta ujuaji tuu, wote wawili hakuna anaetengeneza soda. Moo anaexport 15% yachai yote inayoenda ulaya kutoka tz unahis nibiashara nyepesi kma kukatagogo?? Mnakula nin mpaka kufikia level hio ya ujinga?
Angalia anashindana na nani?
 
Manara tumemjulia simba, ambayo si mali ya MO.

Manara kwa nguvu zake ameifanya simba leo hii ni timu mbele ya timu kwa mdomo wake.

Mungu amempa kipaji kile na akakitumia simba, kama mashabiki msio na shukrani hamtakiona basi watakiona maboss wengine wamlipe kwa hicho na karama ya mtu haipotei mzee.

Hakuna laana mbaya kama kutothamini jasho la mtu, subiri pengo lake mtaanza kuliona mechi za mtani ndio mtajua hakuna kitu mnajua.
 
Angalia anashindana na nani?
Ww unamjua anaeshindana nae kwenye sekta hizo??
Yeye ndo kimara kwenye hizo sekta zamazao yabiashara tz kwenye mkonge pekeake anamiliki Hector 90,000, unajua heka 1 inatoa kias gani chamkonge???
Unaijua bei ya kilo 1 yamkonge kwenye soko ladunia??

3 bora yamazao yakilimo ya biashara yanaipatia tz fedha zakigeni ni korosho chai na mkonge, kwa afrika nzima tz ndoinaongoza kuuza mkonge dunian namoo anaweza kuwepo kwenye 5 bora ya supplier wa mkonge kutoka Africa. Kama unahis Hana wataalam nawashauri wabiashara ujue ww nikichaa
 
Mhuni tu,kuna madogo nilikuwa nawaambia sehem wakawa wanawaka eti ooh wewe shabiki wa yanga ndio maana.
Hao madogo waambie wajiweke kwenye nafasi ya manara watakubali kupokea 700k waache 10Ml? Utakuwa umelogwa labda,nampenda mo ka mwekezaji Simba ila tabia zake sizipendi na sio rafiki
 
Mnakumbukaaaaaaaa,,,,,, Haji alivyojifanya msemaji wa familia wakati MO alivyotekwa?
 
Mkuu kwani wewe hupendi utajiri hadi umshauri MO kuuza juisi ya miwa, kwanini wewe usiuze ili uwe kama Azam, au ndio sizitaki mbichi hizi, leo unamtetea takataka kisa kafukuwa kazi na unamuona mbaya kisa takataka.
 
Pamoja na uwekezaji huo bado anashida insta kujibishana na watoto tena maskini? Huo uwekezaji tunaanzaje kuamini zaidi ya ujanja ujanja tu.
 
Hao madogo waambie wajiweke kwenye nafasi ya manara watakubali kupokea 700k waache 10Ml? Utakuwa umelogwa labda,nampenda mo ka mwekezaji Simba ila tabia zake sizipendi na sio rafiki
Hata uyo Bakharesa ukienda kwa wafanyakazi wake wote ukiambiwa mishahara anayowalipa utashangaa na kusaga meno,Jamani hao wafanyabiashara tuwaache na maisha yao sie tufaiti kivetu vetu
 
Mkuu kwani wewe hupendi utajiri hadi umshauri MO kuuza juisi ya miwa, kwanini wewe usiuze ili uwe kama Azam, au ndio sizitaki mbichi hizi, leo unamtetea takataka kisa kafukuwa kazi na unamuona mbaya kisa takataka.
Sina mtaji ningeuza ila yeye ana hela lakini hana plan wala mawazo najaribu kumsaidia aache kukopi na kulalamika hapati faida.
 
Umenena vyema kaka, watu wamejikita kwenye kumuhurumia manara lakini jiulize what if Manara angepewa mkataba anaoutaka yeye? That means Mo asingekua "muwekezaji mjanjamjanja", simba isingekua kama " timu ya sudan", babra asingekua "nyoka mwenye sumu" mo asingekua "mhindi"
That means Haji hana mapenzi na Simba ila anapigania maslahi yake binafsi!
Kwasababu haiwezekani shida za simba zionekane baada ya mo kukosana na Haji!
 
Acheni kufananisha Mo na Bakhresa, ni vitu viwili tofauti.
Bakhresa kazaliwa kariakoo kaanza kifanya biashara kariakoo, anajua watu wanataka nn.
Mo kazaliwa singida kaja mjini juzijuzi tu, na biashara zinazomtoa no zile za kuuza mazao tu hizo nyingine anakopi hana lolote.
Wenzake, wanaexperiencw kubwa na maisha yeye hana experience amaforce tu.
Mm nashindwaga kuuelewa ubilionea wake unatokea wapi?
 
Kapelelza mauzo ya Mo energy na Azam energy,kisha tuendelee
 
Sipo upande wowote ule ila kuna kitu naomba ukielewe,Bakharesa makampuni yake ni Group of Company itmeans makampuni yake mengi ni ya ubia huenda kuna watu nao wanaweka mzigo kupitia jina lake,Kwa Mo kinachomuweka juu ni Enterprises makampuni yake yote yaani kiufupi biashara zake zote ni zake yaani ni (Sharesholder)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…