Hata Manara angekuwa balozi wa Mohammed Enterprises, Mo asingepata faida

Kwa hiyo mkuu mapenzi ni bora kuliko maslahi? Yani uache mikataba minono kisa mapenzi? Hata huyo mo hana roho hiyo
 
Hata mm nashangaa sana...Baresa ana viwanda mpaka huko Rwanda hana ujinga kama wa Mo
 
Kwa hiyo mkuu mapenzi ni bora kuliko maslahi? Yani uache mikataba minono kisa mapenzi? Hata huyo mo hana roho hiyo
Logic ni kwamba haji alitaka anyamazishwe, sasa huyu hana mapenzi ya kweli na club. Mo ameonyesha, matokeo yameonekana
 
Logic ni kwamba haji alitaka anyamazishwe, sasa huyu hana mapenzi ya kweli na club. Mo ameonyesha, matokeo yameonekana
Sikatai wala sipingi uwepo wa Mo na hata siku akiacha kuwekeza pale msimbazi binafsi nitaumia sana ila ni sahihi Manara apromote biashara zake bure kwa kisingizio kuwa ni za boss wa Simba??
 
Hakusema bure, anasema babra alimnyima mkataba, kila akimpigia anaambiwa "call me later"
Sasa rudi kwenye akili timamu ujiulize kama babra angempa hiyo tender, leo haji angeongea nini kuhusu Simba?

Hayo ni mapungufu ya kibinadamu pia kumbuka mpaka kuweka yote public alikosa msaada asemee wapi sababu uongozi umemkataa wote
 
mzee bakhresa ni old school. hana shobo za kushobokea mitandao ya kijamii wala kujionyesha kwenye media japo yeye mwenyewe ana miliki media house kubwa east and central africa.
 
Hao ndio matajiri bhana

Aisee tena Azam ni media inakimbiza hatari mwamedi anapenda attention sana. Sasa kule kwenye Fobers mbona mzee Bakhresa hawekwi wakati naona kamzidi mpunga mwamedi mbali
 
Uongo mtupu,
hao wafanyakazi 26,000 kawajiri wapi? Ni bahati sana kama kaajiri hata 3,000.
Mtu hata uhakika wa kula huna unamtukana Mo Dewji.

Kwa taarifa yako Mo Dewji kaajiri wafanyakazi 26,000. Baba yako na mama yako hata housegirl tu wameshindwa kuajiri.
 
Huwezi kulazimisha watu wafanane,Mo anajisikia raha akijipost mapicha,Maboss wa Azam wanasikia raha jinsi wasivyojipost....duniani mungu kaumba kila kiumbe na Tabia zake.

Fikiria Dunia nzima tungekuwa hatunywi pombe,hatuvuti bangi,hatupendi chini etc. Dunia ingeboa sana
 
Mo mswahili na pia attention seeker hujasikia anauliza eti mbona watu wanasema wewe (Manara) maarufu kuliko mimi no Wonder haishi kujipost mwambie afanye kwa kiasi na aache uswahili.[emoji23][emoji23]
 
WaTanzania tuna shida mahali,wewe unavyotoa maoni yako ni vile ungefanya kama ungekuwa kama yeye,ila yeye ndo alivyo.

toka akiwa miaka 17 ana mapicha magazeti yamemtoa Mtoto wa Tajiri kavua shati baada ya Simba kushinda mechi ya ligi ya mabingwa Africa.

Chukulia mfano wa Messi na Ronaldo,wote mastaa lkn Ronaldo anapenda Social media.

Ali Kiba na Diamond,wote mastaa lkn Mondi ni king wa social media na Matukio.

Ndo maisha yalivyo tusipende kujaji sana,wewe kama Shabiki wa Simba mchukulie tu ni mwekezaji analipa Wachezaji vizuri,timu inafanya vizuri,vingine mwachie havitakusaidia kitu.

Kama Shabiki wa Yanga,Mchukie kwa sababu amewekeza Simba na kuifanya Yanga ionekane underdog,vingine achana navyoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…