Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Mpaka CHADEMA washasahau nafasi yao, wako na polepole na yanayoendelea CCM

Mtu pekee ambae atakuwa kwenye position ya kuwa na aiba, mentality na akili kama JPM, ndio anapata kura 2025

wabunge chukueni hili, nje ya hapo imekula kwenu
 
Wkt anafurahia utamu wa Vieite si alikua mwenyewe?Atakula alikopeleka mboga.
Akili fupi sana hii.....
watu wanahoji miradi ww unachagua na kunengua kwenye makundi........
ndio maana wtz ni masikini wa kutupwa kwa akili fupi kama hizi.......
waliochagua kucheza ngoma za wanasiasa
stupid
 
Umelipwa shingapi kuandika hii takataka[emoji116][emoji20]

"alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi."
 
Nayeye kipindi watu wanatekwa,wanapigwa risasi,anavuruga uchaguzi na akitutambia na viiete ajue tulikuwa tunapitia ansyopitia sasa. Hivyo analipa.
 
Nasubiria Polepole anunue TV mpya niendelee na darsa la shule ya uongozi[emoji51]
Kazana, kuna siku atakutangaza ni Dr wa wahuni kama alivyotangazwa musukuma.
 
Akili fupi sana hii.....
watu wanahoji miradi ww unachagua na kunengua kwenye makundi........
ndio maana wtz ni masikini wa kutupwa kwa akili fupi kama hizi.......
waliochagua kucheza ngoma za wanasiasa
stupid
Alisikika motivational speaker akiongea na wananchi wkt akiwaomba wajiunge na forever living.
 
Nakukosoa....,
Tusiishie kujenga taasisi, Bali tujenge nchi pamoja na mshikamano.

Tusifurahie mateso ya wenzetu kiss hatujafikiwa.

Yaliyotokea kwa polepole, ndo Ayo Ayo yalotokea kwa mbowe, lissu Hapo hapo nyumba za wabunge dodoma.

Dhambi ya ubaguzi hainaga kwao, Tusilete double standars.
 
Polepole hapigani na wapinzani polepole analumbana na CCM. Polepole hayuko mwenyewe kuna kundi kubwa la wanaccm nyuma yake. Bungeni wamejitosheleza kwa wananchi amejitosheleza.
Mpaka Sasa hatujaskia mwanaccm yeyote mwenye mashiko anaemsapoti polepole.

Zaidi zaidi Ni nyie wenye I'd feki humu ambao huenda ndio polepole mwnyw unajitetea kwa mlango wa nyuma.
 
Mpaka Sasa hatujaskia mwanaccm yeyote mwenye mashiko anaemsapoti polepole.

Zaidi zaidi Ni nyie wenye I'd feki humu ambao huenda ndio polepole mwnyw unajitetea kwa mlango wa nyuma.
Hii vita sio ya kitoto, ujue, watu wazima wapo nyuma ya jamaa hata ukijiuliza kwa akili timamu mtu hawezi kuongea hivyo peke yake, ila huyo anaandaa mazingira kwanza, kama unajua jeshi la anga hutangulia na ndege hurushws na rubani mmoja lakini njia ikishawekwa linakuja jeshi la ardhini la watu kibao,
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Analilia v8 huyo akipata hutamwona tena akiongelea miradi, utabaki peke yako
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Kwa hakika wewe,jingalao, Magonjwa Mtambuka, na wenzenu komaeni naye tu 😁😁.

Wengine wala msituongelee.
 
Unaongea vitu vya kusadikika....
Pole pole kwa Sasa Hana ushawishi wowote kisiasa Wala kijamiii.

Alikuja CCM TU kwasababu ya mbeleko ya jpm, Wala hakua kada Yule.

Wenye chama chao wote wanalijua hili, ndo maana Hana sapoti yoyote.

Kwasasa,
Polepole Ni Kama kisandu wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…