Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Lissu ni shuhuda mzuri wa hilo kuliko Polepole wako.
Mfuate wote mkawe mifugo ya wazungu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni shuhuda mzuri wa hilo kuliko Polepole wako.
Nasubiria Polepole anunue TV mpya niendelee na darsa la shule ya uongozi[emoji51]Mfuate wote mkawe mifugo ya wazungu!
Mpaka CHADEMA washasahau nafasi yao, wako na polepole na yanayoendelea CCMInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Aliambiwa huyo (Bulembo) ana "connections" nyingi za kupata fedha.Mlimwekaje fisadi kuwa meneja kampeni wa "mzalendo?"
Akili fupi sana hii.....Wkt anafurahia utamu wa Vieite si alikua mwenyewe?Atakula alikopeleka mboga.
Huu upumbavu alianzisha yeye mwenyewe polepole chini ya mwendazake[emoji12]Tunapenda kumshambulia mtu nasio mawazo
Kazana, kuna siku atakutangaza ni Dr wa wahuni kama alivyotangazwa musukuma.Nasubiria Polepole anunue TV mpya niendelee na darsa la shule ya uongozi[emoji51]
Alisikika motivational speaker akiongea na wananchi wkt akiwaomba wajiunge na forever living.Akili fupi sana hii.....
watu wanahoji miradi ww unachagua na kunengua kwenye makundi........
ndio maana wtz ni masikini wa kutupwa kwa akili fupi kama hizi.......
waliochagua kucheza ngoma za wanasiasa
stupid
Nakukosoa....,Tulisha onya kule nyuma dhana ya kujenga watu binafsi badala ya kujenga taasisi imara. Malumbano haya nawahakikishia hayatauacha salama. Tujenge taasisi imara tuachane na watu watu wajijenge wenyewe kwa kuonyesha uzalendo. Leo wahuni watamvamia Polepole, kesho Musa, keshokutwa Mstafa.....tutegemee nini hapo kama siyo vurugu.
Mpaka Sasa hatujaskia mwanaccm yeyote mwenye mashiko anaemsapoti polepole.Polepole hapigani na wapinzani polepole analumbana na CCM. Polepole hayuko mwenyewe kuna kundi kubwa la wanaccm nyuma yake. Bungeni wamejitosheleza kwa wananchi amejitosheleza.
Wkt anafurahia utamu wa Vieite si alikua mwenyewe?Atakula alikopeleka mboga.
Hii vita sio ya kitoto, ujue, watu wazima wapo nyuma ya jamaa hata ukijiuliza kwa akili timamu mtu hawezi kuongea hivyo peke yake, ila huyo anaandaa mazingira kwanza, kama unajua jeshi la anga hutangulia na ndege hurushws na rubani mmoja lakini njia ikishawekwa linakuja jeshi la ardhini la watu kibao,Mpaka Sasa hatujaskia mwanaccm yeyote mwenye mashiko anaemsapoti polepole.
Zaidi zaidi Ni nyie wenye I'd feki humu ambao huenda ndio polepole mwnyw unajitetea kwa mlango wa nyuma.
Na wewe kwanini usikae kimya?Kwa nini usikae kimya?
Kwamba wewe hamnazo zaidi ya Polepole au? We dingi bure kabisa.Halafu uwe na adabu kidogo mimi sio kiroboto ni zaidi ya huyo Polepole, alaaah!
Watakiwa kunipigia saluti.
Analilia v8 huyo akipata hutamwona tena akiongelea miradi, utabaki peke yakoInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Kwa hakika wewe,jingalao, Magonjwa Mtambuka, na wenzenu komaeni naye tu 😁😁.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Unaongea vitu vya kusadikika....Hii vita sio ya kitoto, ujue, watu wazima wapo nyuma ya jamaa hata ukijiuliza kwa akili timamu mtu hawezi kuongea hivyo peke yake, ila huyo anaandaa mazingira kwanza, kama unajua jeshi la anga hutangulia na ndege hurushws na rubani mmoja lakini njia ikishawekwa linakuja jeshi la ardhini la watu kibao,
Unajua kuna wazee wanatajwa hapo kina mzee Mangula, ngoja tuone,Unaongea vitu vya kusadikika....
Pole pole kwa Sasa Hana ushawishi wowote kisiasa Wala kijamiii.;.