ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Muungeni mkono tu huyo genius wenu wa vieti.Wengine hatupo naye na hatutaki kumsikia.Wakati wa Magufuli kwanini alikaa kimya pale watu walipokuwa wanabambikiwa kesi kwa kuwa walikuwa wanamkosoa.Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.
Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.
#kataawahuni
Muungeni mkono tu huyo genius wenu wa vieti.Wengine hatupo naye na hatutaki kumsikia.Wakati wa Magufuli kwanini alikaa kimya pale watu walipokuwa wanabambikiwa kesi kwa kuwa walikuwa wanamkosoa.Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.
Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.
#kataawahuni
Madhila aliyoyapata lisu je yeye polepole hakuyaona? Mbona alichekelea. Au lisu siyo mtuInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Kajaa uchafu mtupu, Magufuli alikuwa muongo Sana hasa financial status ya nchi ya kutuaminisha kuwa pesa ipo Tena yetu wenyewe wakati alikuwa anakopa.Uache kusikiliza speech za polepole usikilize za naniii?? Kijana amejaa dhahabu tupuu
Pole pole naye kaua wengi kwa kushirikiana na jpm na sabaya. Mwache naye auawe Ni zamu kwa zamu. E mungu sikia kilio hiki Cha mja wako, ya Hilo pimbi harakaHuyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo...
Watanzania gan hao?? Achen ujinga wa kuwapaka matope watanzania. Nan anataman mateso yale? Hupati maendeleo ukichagua upinzan, teka, tesa, weka ndan, funga gerezan, kauli kama wakome kama walivokoma ziwa la mama zao??Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Wakati lisu anapigwa risasi, kwani hali ilikuwaje kwa raia wa kawaida?Kama Polepole anqvamiwa ivyo hali ikoje kwa raia wa kawaida
Siyo lazima ataje sababu za kuwatoa. Kila mtu ana style yake ya uongozi. Ni Kama jpm alivyokuwa anawadhalilisha watu akienda ziarani eti peleka mavi yako kwa mmeoHuyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo...
Walikuwa wanatekwa sanaWakati lisu anapigwa risasi, kwani hali ilikuwaje kwa raia wa kawaida?
Mwovu yafaa aambiwe juu ya njia zake mbaya ili aamue kibadilika au abakie na njia zake mbaya.Kwa nini usikae kimya?
Ni afadhali upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga.Nape ndo anabisha ,kashaambiwa kama babaako,mamaako bibi yako alikua CCM na mimi niko humohumo hata km nimeingia jana.
Jibu la kiufundi sana
Kwendraaaaa kafie mbeleeeeInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
wewe pimbi kweli jiseme e hakuna mtanzania pimbi atakua na polepole
Una bidii kweli, hii message ni kama ya 6 hivi ukiongelea suala lilelile. Bila shaka wewe ni slow slow mwenyewe au mulaga.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Hivi Polepole ana alichangisha pesa 2020?Aliambiwa huyo (Bulembo) ana "connections" nyingi za kupata fedha.
Meneja kampeni atakiwa yule mwenye uwezo wa kuchangisha fedha.
CCM haikosolewagi hadharani, mshaurini kijana yaonekana hakijui vizuri chama chetu.Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
WAKATI WA MAGUFULI MBONA HAKUWAHI KUSEMA CCM AU SERIKALI INAFANYA MAKOSA. POLEPOLE AACHE UBINAFSI, CHUKI NA ROHO MBAYAInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Wkt anafurahia utamu wa Vieite si alikua mwenyewe?Atakula alikopeleka mboga.
Jamii yetu sielewi tunaelekea wapi, lakini tujue hili ni taifa letu na sote tunawajibika kulinda maslahi yake kwa namna zoteInashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?
Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?
Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.