Hata mfurahie madhila yaliyompata Polepole, Watanzania wenye nia njema na Taifa hili wapo pamoja nae

Polepole is by far genius as compared to the bogus Nape.

Watanzania wengi tunakuunga mkono mheshimiwa Polepole. Endelea kuwapelekea moto.

#kataawahuni
Muungeni mkono tu huyo genius wenu wa vieti.Wengine hatupo naye na hatutaki kumsikia.Wakati wa Magufuli kwanini alikaa kimya pale watu walipokuwa wanabambikiwa kesi kwa kuwa walikuwa wanamkosoa.
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Madhila aliyoyapata lisu je yeye polepole hakuyaona? Mbona alichekelea. Au lisu siyo mtu
 
Uache kusikiliza speech za polepole usikilize za naniii?? Kijana amejaa dhahabu tupuu
Kajaa uchafu mtupu, Magufuli alikuwa muongo Sana hasa financial status ya nchi ya kutuaminisha kuwa pesa ipo Tena yetu wenyewe wakati alikuwa anakopa.

Miradi monhi itachelewa kwa kuwa ukweli unasemwa kuliko kukwambia kuwa mradi utakamilika kwa wakati wakati pesa za kutekelezea hio miradi bado kizungumkuti.

Issue ya polepole inasikitisha japo kuwa wakati wenzie hasa wa upinzani wanatendwa kijana alifurahi bila kukemea na alikuwa sehemu ya watesi na ndio maana watu wengi wanafurahia mateso yake kwa kua anaonja Radha ya kikombe.
 
Huyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo...
Pole pole naye kaua wengi kwa kushirikiana na jpm na sabaya. Mwache naye auawe Ni zamu kwa zamu. E mungu sikia kilio hiki Cha mja wako, ya Hilo pimbi haraka
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Watanzania gan hao?? Achen ujinga wa kuwapaka matope watanzania. Nan anataman mateso yale? Hupati maendeleo ukichagua upinzan, teka, tesa, weka ndan, funga gerezan, kauli kama wakome kama walivokoma ziwa la mama zao??
 
Huyu kijana atauwa na utawala huu kwani anapowaweka mafisadi na wahujumu wa maendeleo wazi inawauma ndiyo maana Bulembo kaja wazi kweupe na kutamka jina la POLEPOLE na hata Polepole akiuwa na yote yaliyoanza kummkuta Bulembo anahusika ila timu Samia wamemtuma Bulembo...
Siyo lazima ataje sababu za kuwatoa. Kila mtu ana style yake ya uongozi. Ni Kama jpm alivyokuwa anawadhalilisha watu akienda ziarani eti peleka mavi yako kwa mmeo
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Kwendraaaaa kafie mbeleeee

Wakati anatukejeli alijuw kafika eti??
Alijua yeye kwenye hii nchi ndo kashatoboa? Heshimu watu mganga hufariki nyau nyie
Alikuwa anawazodoa wapinzani hataki waongee anawambia yuko kwa ajili kuwafundisha watu
Akashiriki kuwanunua wapinzani kwa hela nyingi za walipa kodi

Akajua dhuruma zilizofanywa na chama chake na hakuwahi kufungua mdomo kukemea

Nyau nyie mkafie mbeleeee
 
wewe pimbi kweli jiseme e hakuna mtanzania pimbi atakua na polepole

Agiza pepsi baridi mkuu
Polepole sio maarufu kama anavyodhani yaani analazimisha kuwa maarufu wakati tunazidi kumuona mnafiki tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
Una bidii kweli, hii message ni kama ya 6 hivi ukiongelea suala lilelile. Bila shaka wewe ni slow slow mwenyewe au mulaga.
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
CCM haikosolewagi hadharani, mshaurini kijana yaonekana hakijui vizuri chama chetu.
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi...
WAKATI WA MAGUFULI MBONA HAKUWAHI KUSEMA CCM AU SERIKALI INAFANYA MAKOSA. POLEPOLE AACHE UBINAFSI, CHUKI NA ROHO MBAYA
 
Bwege kweli Eti watanzanzania tupo pamoja nae WTF!
Chakubanga mwongo katengeneza tukio na kujiibia!
Analeta maigizo hapa
Shwain!
 
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.

Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya makosa? Anakosea nini kukosoa juu ya mradi wa JNHP kucheleweshwa bila sababu? Kama kuna harufu za kifisadi juu ya pesa umma, au miradi kama bandari ya Bagamoyo, kuna kosa?

Je, mnadhania watanzania wanaupofu? Hawaoni kuwa Polepole anasimamia wapi?

Watanzania wazalendo wapo pamoja na Polepole.
Jamii yetu sielewi tunaelekea wapi, lakini tujue hili ni taifa letu na sote tunawajibika kulinda maslahi yake kwa namna zote
 
Back
Top Bottom