Hata Mikoa mingine ya Tanzania inahitaji Uitembelee na siyo wa Arusha tu pekee mpaka wanaanza Kukuchoka sasa

Hata Mikoa mingine ya Tanzania inahitaji Uitembelee na siyo wa Arusha tu pekee mpaka wanaanza Kukuchoka sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ngoja taratibu nianze kuangalia Arusha kuna Rasilimali gani na labda unaweza Kuwekeza katika lipi Ukishirikiana na Wazungu ( hasa Wamarekani ) na Waarabu ( hasa wa Yemen na Dubai ) ili GENTAMYCINE nisije kuwa Namlaumu tu Mtu bure.
 
Nimeona hili nalo lina tija.

Lakini hii picha haina maswali hata kidogo. Hakuna baya eti🤣
IMG-20230828-WA0000.jpg
 
Kwani Arusha siyo Tanzania? Akija kijijini kwako atawaletea magunia ya mchele?

Mura najua wakurya hawana wivu mura, 🤣🤣🤣
 
Arusha ndio mji wa kidiplomasia wa nchi hii braza
Ni kati ya miji minne muhimu ya hii nchi ambayo ni dar, zanzibar, dodoma na arusha
Raisi anapoenda arusha haimaanishi ni ziara ya kikazi kwa ajili ya mkoa wa arusha mara nyingi huwa ni vikao ama mikutano na wadau wa kimataifa ambao ofisi zao nyingi ziko arusha
NB: Tangu ssh aingie madarakani ameshafanya ziara moja tu ya kikazi arusha
 
Back
Top Bottom