dah Mrs hata mi namshangaa huyo bwana sio kwa ku do ze nidiful, ila kwa kuwa mzembe kiasi hicho....in fact hajafuzu kozi ya infidelity
but nimeipenda busara yako hapo kuokoa mambo yasizame na sio kuwa jiwe la kusagia
kisha wakisharudiana aladji kama kawa.....kudungkudkudkudkudkud....:welcome:
okay wanawake wanacheat too!!! but in this case the wife didnt cheat so lets stick to the topic!!! can we?Sorry mom, tuangalie upande mwingine wa shilingi,,,,,eeeh wewe hujawahi kuona wanawake nao wanacheat? Ama hata ww hujawahi kucheat? As I said sorry if am mistaken!
Mie siamini kama bado kuna watu wanafikiria hivi!!! yaani arudi haraka asije akaleta mwanamke mwengine? ooow that's a joke? isn't it? lol.... halafu unasema alicho fanya ni kitu cha kawaida..arudi kumsaidia nini?Huyo Mwanamke arudi kwa Mume wake haraka sana, asije akasababisha huyo jamaa akaleta mwanamke mwingine, anamuachaje mwenzake kirahisi rahisi namna hiyo. arudi kwa Mume wake, alikuwa anafikiri anaolewa na Malaika.
Ni lazima ajue kwamba ukorofi kama aliofanya mume wake ni wakawaida kwa binadamu wote, anachotakiwa kufanya ni kumsaidia mume wake kujirekebisha, sio kukimbia familia, anataka mwenzake akae na nani, mpigie simu now, arudi kwake.
na ajifunze kutatua matatizo yake na mume wake kifamilia sio anakurupuka kwenda kutangaza hovyo kwa ndugu zake, Mpigie
Mie nimeipenda hii!!! :becky: sim support ku revenge or anything but I think the guy deserve yatakayo mpatayeye ndicho anachokitaka, lakini anataka mpaka amuumize kama yeye alivyoumia.
Mie nimeipenda hii!!! :becky: sim support ku revenge or anything but I think the guy deserve yatakayo mpata
Ya nini malumbano?Nobody can handle the TRUTH... because it hurts... Huyo dada angeambiwa in black n white kwamba kuna Eliza alimueskoti jamaa kwa hizo 2 wks angekufa kwa kihoro.... Yeye aliamua kuingia kwenye ndoa kwa utashi wake... for Better, for Worse... kwa nini better anakubali halafu worse anakataa?? Hayo ndio majaribu, anatakiwa kuyashinda
Asprin.... Hebu rudia zile rule zako...
Umeshafaulu, matokeo anayo Pope Kaizer... Msome hapa chini.Mpwa mimi bado naendelea na kozi ili nimalize vizuri na nipate cheti changu halafu ndio nianze kuitumikia vizuri ile katiba kumbuka mwalimu wangu ni Asprin
:welcome:dah we tutakupa Bachela na masta hapo hapo.....:welcome::welcome:
:car::bump2: Lakini maisha bila:car:yanawezekana!!!hahaha haya fanya 😛lane:😛lane::car::car:
hehehehe!vere poosibo!Ya nini malumbano?
Umeshafaulu, matokeo anayo Pope Kaizer... Msome hapa chini.
:welcome:
:car::bump2: Lakini maisha bila:car:yanawezekana!!!
hehehehe!vere poosibo!
kuna shato siku hizi bana
Mie nimeipenda hii!!! :becky: sim support ku revenge or anything but I think the guy deserve yatakayo mpata
mambo yanaenda kama filamu ya kihindi vile, jana mdada karud ikwa mume lakini kacctiza kwamba akili yake bado ipo pale pale, na hajui kama atampa unyumba mpaka cku atakapofanikiwa kuilengesha kwa mwingine yeye ndio aje aendelee, wanaume wakati mwingine bwana mnakitakiaga matatizo, sasa huyu akili yake imemuhama kabisa, haambiwi wala ashauriki.
Mh hapa kweli hata mie sisy nashangaa..... inawezekana mambo mawili
1. Ni kweli hajafanya kosa na kabambikiziwa na huyo mhudumu (But hapa yanakuja maswali ya ziada
(i. Iweje mhudumu amfanyizie? alimfanyia nini au alimkosea nini?)
(ii> Iweje amwombe mhudumu amfungashie begi lake??)
2. Inawezekana kafanya kosa ila anaapply men's theory (It wasnt me) maana hawa bwana huwa wanaambiana usikiri yaani bora uache uncertainities kuliko kukiri kwani wanaamini kwa kukiri ndio unaharibu kabisa kwani kwa mwanamke hakitakaa kiishe. So he is applying the men's most important theory.
Wifi kakosea kwani kwenda nyumbani si suluhisho hata kidogo alitakiwa ambane kaka kwa staili yoyote ile hadi apewe ukweli la sivyo atege mitego yake angebamba.
Kwa mara ya pili nyamayao nakushauri huyo mdogo wako mkimbizeni Mirembe kabla mambo hayajaharibika mazima!
:confused2::confused2:dearest nilikumic jamani, jana mpaka ikabidi nimuulize kipemba wangu Asprin kama kwema.....pole na shughuli na welcom back....haya mambo yangenikuta mzee kama mie niliekomazwa mapema na hii sector, nadhani mambo yangeshakuwa sawa, yeye c kajibu "anashangaa" bac mie ningemshangaza zaidi, ishu ni kwamba wengine wana mioyo icyoweza vumilia mami.
Hapo hamna ndoa tena dada yangu. Niape?myy bro mie nimeshasema tangu jana haya mambo nimewaachia familia zaidi...sasa hivi mie nafanya kuckiliza na kuckitika tu.
...sasa ndio mapenzi gani hayo ya kuviziana? si bora kila mmoja achukue ustaarabu wake?
:confused2::confused2:
Hapo hamna ndoa tena dada yangu. Niape?
mambo yanaenda kama filamu ya kihindi vile, jana mdada karud ikwa mume lakini kacctiza kwamba akili yake bado ipo pale pale, na hajui kama atampa unyumba mpaka cku atakapofanikiwa kuilengesha kwa mwingine yeye ndio aje aendelee, wanaume wakati mwingine bwana mnakitakiaga matatizo, sasa huyu akili yake imemuhama kabisa, haambiwi wala ashauriki.