Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
- Thread starter
- #201
dah Mrs hata mi namshangaa huyo bwana sio kwa ku do ze nidiful, ila kwa kuwa mzembe kiasi hicho....in fact hajafuzu kozi ya infidelity
but nimeipenda busara yako hapo kuokoa mambo yasizame na sio kuwa jiwe la kusagia
kisha wakisharudiana aladji kama kawa.....kudungkudkudkudkudkud....:welcome:
nimeicheza live kabisa hiyo kutia mcctizo.....na wewe umesh2kia mkaka mzembee eeehh, japo anecheki kuhakiki mambo yacbgefikia huku, iwe somo kwako ukirudi kutoka safari uhakiki mambo kwanza kabla hujafika home tukatoana roho na uzee huu...iwe umefanya au hujafanya kuhakiki ni muhim.