Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Kumekuchaaaa jf ngoja nichaji cm chifkiumbe ban lifted

Na ndiyo maana kila mara huwa nakuita Mpumbavu halafu huwa unadhani nakuwa nakukosea Adabu. Wewe kila ukiona tu ID yangu hii ya GENTAMYCINE imepotea hapa JamiiForums Ubongo wako uliojaa Takataka Ngumu za Mwanadamu unakutuma kuwa Mimi nimepigwa BAN. Sasa leo nakusaidia kuwa sijapigwa BAN tokea Mwezi February 2020 na hata Moderators wapo hapa ni Mashahidi unaweza ukawauliza na kama Wewe ni Mmoja wao pengine ndiyo maana kila mara unataka Kuulazimisha Umma wa wana JF kuwa Mpiga BAN Mkuu unaweza ukajiridhisha nao Kiuthibitisho.

Na hakuna Sheria yoyote ile ambayo huwa inamlazimisha Member wa JF awe kila mara anakuwa Hewani ( Online ) hapa Jamvini bali unaweza ukawa unayafuatilia yote yanayoendelea hapa pasipo hata kuwa una Log In ila ni bahati mbaya sana kwa Mpumbavu Mwandamizi kama Wewe hili huwezi kulijua na unachokijua ni kwamba GENTAMYCINE asipoonekana tu hapa kwa Kuchangia basi tayari anakuwa kapigwa BAN.

Na ili kuonyesha kuwa ama kweli Nyota yangu ya Jaha ni Kali sana kiasi kwamba unanikubali hadi unachanganyikiwa nami na huenda hata ukawa unatamani kweli kweli uwe Mke wangu wa Pili ni kwamba Wewe ukiona tu nipo ama nimenzisha Uzi au nimechangia Hoja mahala ni lazima tu utajitokeza ili kuonyesha ' Kuwashawawashwa ' Kwako nami kama Jibwa Jike lenye Nyege Mshindo linalotaka Kupandwa na lisuuzike vyema.

Haya sasa kukuonyesha kuwa najiamini Leo nimeingia hapa JamiiForums ila naweza kuanzia Kesho nisionekane kwa muda tena hapa kutokana na Ratiba zangu na Michakato yangu hivyo nakuomba sasa anza Kujiandaa Kuwadanganya Wapumbavu Wenzio kuwa GENTAMYCINE nisipoonekana kuanzia Kesho basi wajue kuwa nimeshapigwa BAN. Halafu nikiwa Nawadharau mnaona nakosea. Nyota yangu ya Jaha inakutesa na itakutesa.

Cc: Kipangaspecial, Daudi Mchambuzi
 
Jiwe Mnafiq sana.
Yeye ndio yuko behind Project ya kutaka extension za terms za u Presidaa.
Halafu anajifanya sio yeye
 
Nyie maccm hamnaga msimamo wowote ulio thabiti.

1: Mlituaminisha kuwa Lowasa baada ya kuhamia cdm mkasema hakuna mtu mchafu kama Lowasa, leo mwenye chama anamrudisha ccm mnaanza kumsifu na kumtukuza.

2: Kikwete wakati anaongoza mlimsifia na kumuita kuwa ni chaguo la Mungu lkn baada ya kumaliza muda wake leo hii mnamponda kuwa kwenye awamu yake hakuna kilichofanyika zaidi ya awamu ya tano.

Hamna la kutwambia nyinyi wanafiki wazee wa fuata upepo tu.
 
Kàma kawaida enjoy wiki hii ijayo ban

Hujawahi kuwa na Hoja nyingine ya Msingi Kwangu zaidi ya kila mara Kukazania tu hilo neno kuwa nimepigwa BAN. Najua ninavyokutesa mno tu.
 


Yaani maajabu ya TZ hata uchaguzi bado wa muhula wa pili watu wanaongelea kuongezwa muda mwaka 2025!!!! the comedy hasa
 
Labda wewe una ajenda nyingine, Nyerere anamuongoza nani leo hii? Muwacheni mzee wetu ajipumzikie kwa amani.
 
Mkuu huwa unaleta madini. Tatizo unaleta mda tunavuta shuka kulala

Mkuu hebu acha Kuniabisha na Kuniangusha. Yaani Wewe hujui kuwa kuna wengine sasa Wewe ukilala Wao walipo huko ndiyo Kumeshakuchwa?
 

Kwani kuwa mwana CCM ni Dhambi au Kosa la Jinai? Idiot Wewe!
 
Bahati nzuri tunajuana na uajua nitakachokufanyia kesho pure talented and charismatic fella popoma nyabenger🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wacha mkwara ya kihindi wewe mkurya
Tangia lini na Wewe Mtu niliyekuwa ninakuheshimu hapa JF umeanza kuwa na Upuuzi huu na hizi tabia za Kiuswahili Kiuswahili Mkuu? Jitathmini!
 
Jamaa ni mshamba sana, naona tangu atoke kwao borega bado hajajifunza kuishi na watu vyema
Bahati nzuri tunajuana na uajua nitakachokufanyia kesho pure talented and charismatic fella popoma nyabenger[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa ni mshamba sana, naona tangu atoke kwao borega bado hajajifunza kuishi na watu vyema
Huyu nammudu Ni mshamba flan Yuko bandarini. Ni komedian wetu humu watu hufurahi kusoma nyuzi zake ila ana mkosi wa mikasi(ban) kwenye nyuzi zake zenye ukakasi.🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…