Hata mimi 'ningemshangaa' Mwenyekiti na Rais wangu ninayemuheshimu kama angefanya upuuzi huu

Move ya sheria ya kinga ya kutoshtakiwa PM,speaker na Raisi aliepo madarakani ni mwanzo wa mabadiliko ya katiba na kuongeza muda wa madarakani kwa kigezo cha cha Katiba mpya ndio lengo la jpm!!!!
 
Inatakiwa chama cha CCM kiweke kanuni ya adhabu au onyo kwa wajumbe wake kuhusu kuzungumzia swala la muda wa uraisi. Inaleta taharuki kubwa kwa wananchi, ni sawa na uchochezi tu
 
Kuna mkuu mmoja humu aliandika bandiko usiku wa manane kabisa na mods hawakuuvumilia uzi ule kuhusu mabadiliko ya katiba!!!!
MARAIS WASTAAFU,MAWAZIRI NA MASPIKA WATAKUWA BARAZA LA USALAMA WA TAIFA PAMOJA NA JESHI!HALAFU RAISI WA JMT ATATEULIWA NA BARAZA HILI(INASADIKIKA KIKWETE ATARUDI KWA MHULA MMOJA)!HALAFU WAZIRI MKUU ATAPIGIWA KURA NA WATZ YULE ALIEPATA NAFASI YA PILI ATAKUWA NAIBU WAZIRI MKUU TENA WA UPINZANI!!!!RAISI ATAKUWA MMOJA TU NA MAWAZIRI WAWILI WA TANGANYIKA KULE ZANZIBA MDAU HAKUANDIKA ITAKUAJE!!!!NIGASTRATRACT AJE ATUAMBIE KWA KINA!!
 
Yale maneno ya Bashiru wala siyaamini kwa kuwa wanasiasa syo watu wakuwaamini pia jana kashindwa kabisa kuelezea ishu ya Membe na kujifanya hajui kitu hali ya kuwa yeye ndo Katibu mkuu wa chama tawala .
 
Hv yakiandaliwa maandamano makubwa kila mkoa kumshinikiza JPM aongoze muda wa kutawala kuna mtu wa kupinga humu .Mwisho wa siku ataitikia huo wito na huko bungeni mchakato mzima utapitishwa na wale wagonga meza,so hakuna kinachoshindikana ni suala la muda tu.
 
Tunalisubiri kwa hamu Sana kuendelea na Xi Jinping wetu, lazima tuwatimulie vumbi majirani zetu atiiu!
 
MaCHADEMA mlituaminisha kuwa Lowassa ni FISADI PAPA, baadae mkamchukua na mkasema huyu ni msafi Sana na mkamfanya mgombea wenu wa Urais
 
Ili uweze Kuaminika zaidi na usionekani Mzushi na Mpashkuna bila kusahau Mpumbavu kama superbug ningeomba tu uzianike zote hapa haraka.
Ushaanza maneno yako ya shombo,nimekuwa "Mpakshuna" mara hii!!

Ungekuwa mwanamke wewe,ungefaa uolewe na Uchebe wa Shishi..jinga kabisa.
 
Ushaanza maneno yako ya shombo,nimekuwa "Mpakshuna" mara hii!!

Ungekuwa mwanamke wewe,ungefaa uolewe na Uchebe wa Shishi..jinga kabisa.

Ningekuwa Mwanamke kwani Jinsi yangu Wewe unaijua? Kuna mahala umeonyesha Kujifanya unanijua sana sasa mbona Jinsia yangu tu hauijui?
 
Hii heshima only in Tanzania.
 
Akina kessy watamlazimisha...namaanisha kessy yule mwarabu koko wa kule katavi...
 
Bila shaka jicho lako La tatu liko vizuri
 
Yeye mwenyewe anataka kubadili katiba aongoze muda mrefu kwa kusingizio cha kusimamia miradi mikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…