Kama Mh. Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka hadharani kuwa hata watanzania wakipigia kura vyama vya upinzani CCM ndio itaunda serikali, watanzania tutegemee nini katika chaguzi zijazo?
Na katika maneno ya Nape ambayo yamekuwa summarized katika yale aliyosema Samia katika uchaguzi wa 2020, je watanzania tutegemee rais Samia atamwajibisha Nape? Kwa moral authority ipi?