“Hata mkipigia kura vyama vingine CCM ndio itaunda serikali”-Mh. Samia Suluhu Hassan (Kampeni za uchaguzi mkuu 2020). Tutegemee nini kwa alosema Nape?

“Hata mkipigia kura vyama vingine CCM ndio itaunda serikali”-Mh. Samia Suluhu Hassan (Kampeni za uchaguzi mkuu 2020). Tutegemee nini kwa alosema Nape?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kama Mh. Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka hadharani kuwa hata watanzania wakipigia kura vyama vya upinzani CCM ndio itaunda serikali, watanzania tutegemee nini katika chaguzi zijazo?

Na katika maneno ya Nape ambayo yamekuwa summarized katika yale aliyosema Samia katika uchaguzi wa 2020, je watanzania tutegemee rais Samia atamwajibisha Nape? Kwa moral authority ipi?
 
Kama hawataki kazi wajaribu hivyo.
Lawama zote zipelekwe kwa vyombo vya ulinzi na usalama, hao ndio chanzo HALISI cha Matatizo ya nchi yetu. Wanatumika kuiba na kulinda wezi wa kura.

Na mwisho wao ccm wanaiba mpaka pensheni zao zote wakistaafu.

Muda umefika vyombo vya ulinzi na usalama wakatae kutumika kuharibu uchaguzi.
 
Na yule wa bungeni aliyesema vipande vya karatasi haviwatoi madarakani mbona anasahaulika.Nakumbuka alivaa ushungi.
 
Back
Top Bottom