Watu wako busy na uzalishaji hawahitaji pumba na kupoteza muda.Hii sio zama ya wenye mtazamo kama wako. Awamu hii ya Mama ni ya kidemokrasia na kuheshimu katiba. Si ya kubuzana kama ulivyozoea. Imebaki historia. Vumilia tu hata kama hupendi maana na wenzio walivumilia pia ulipokuwa unaona raha!
Kuna lipi jipya watanena?
Kuna lipi jipya watanena?
Kuna lipi jipya watanena?
Kuna lipi jipya watanena?
Kuna lipi jipya watanena?
Subiri waruhusiwe kwanza halafu utayasikia yote watakayo zungungumza.Kuna lipi jipya watanena?
Kuna lipi jipya watanena?
Pumba unazijua wewe mhafidhina. Hulazimishwi kwenda kwenye mikutano yao halafu, ni jambo la hiari. Wanaoona umuhimu wa kuwasikiliza wapinzani usiwapangie!!Watu wako busy na uzalishaji hawahitaji pumba na kupoteza muda.
Kuna lipi jipya watanena?