Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi bali kupotezea muda wananchi wasifanye shughuli za maendeleo.

Hivi hata hii leo ruhusa ya mikutano ya kisiasa ikipata ruhusa mtakuja kutuambia nini cha maana? Ripoti ya CAG imeibua ufisadi? Mbowe alifungiwa akaunti zake? Mradi wa JNHPP hauna manufaa?

Sioni haja ya kupewa nafasi ya kupoteza muda wa wakulima na wafanyabiashara.
Hawana jipya
 
Sisi tutaongea na watu wenye akili timamu siyo mazombie kama wewe mnaoabudu mzimu wa yule dhalim.
 
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi bali kupotezea muda wananchi wasifanye shughuli za maendeleo.

Hivi hata hii leo ruhusa ya mikutano ya kisiasa ikipata ruhusa mtakuja kutuambia nini cha maana? Ripoti ya CAG imeibua ufisadi? Mbowe alifungiwa akaunti zake? Mradi wa JNHPP hauna manufaa?

Sioni haja ya kupewa nafasi ya kupoteza muda wa wakulima na wafanyabiashara.
Ficha kidogo utahira wako!! ni akina nani waliokuwa wanaongoza kabla ya Magufuli?? kwahio huo ubazilifu ulifanywa na vyama vya upinzani??

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi bali kupotezea muda wananchi wasifanye shughuli za maendeleo.

Hivi hata hii leo ruhusa ya mikutano ya kisiasa ikipata ruhusa mtakuja kutuambia nini cha maana? Ripoti ya CAG imeibua ufisadi? Mbowe alifungiwa akaunti zake? Mradi wa JNHPP hauna manufaa?

Sioni haja ya kupewa nafasi ya kupoteza muda wa wakulima na wafanyabiashara.
Kwani wewe ni mtanzania?
 
Sasa hivi tupo kwenye awamu ya 6 hizo habari za awamu 5 umebaki nazo wewe muhutu
 
Mkuu futa hii post unajiabisha. Yaaani ishu ya malezi inahusika vipi na mikutano ya siasa? Wazazi wako walikulea kwa uhuru kuwa unaropoka pumba hata wakati wa kazi? Uhuru wa kipuuzi.
Umekulia mijeredi,, pole sana.
Baba alituruhusu kumshauri muda wowote akiwa available.
Nchi yetu bado tupo kwenye njia kuelekea democrasia pevu, kudharau mchakato wake ni afya mbovu ya akili uliyonayo.

Mungu akurehemu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi bali kupotezea muda wananchi wasifanye shughuli za maendeleo.

Hivi hata hii leo ruhusa ya mikutano ya kisiasa ikipata ruhusa mtakuja kutuambia nini cha maana? Ripoti ya CAG imeibua ufisadi? Mbowe alifungiwa akaunti zake? Mradi wa JNHPP hauna manufaa?

Sioni haja ya kupewa nafasi ya kupoteza muda wa wakulima na wafanyabiashara.

Ni haki tu kuna Watanzania asilimia 99% hawalipi kodi wala kufanya cha maana wanashinda magengeni lakini kila mtu ni huru
 
This post reminds me of the day a lady came knocking on my door and asked for a small donation towards the local swimming pool, I gave her a glass of water, I love supporting the community.
 
Baby my love for you is like corruption in africa it will never end🏃🏃🏃🏃
 
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi bali kupotezea muda wananchi wasifanye shughuli za maendeleo.

Hivi hata hii leo ruhusa ya mikutano ya kisiasa ikipata ruhusa mtakuja kutuambia nini cha maana? Ripoti ya CAG imeibua ufisadi? Mbowe alifungiwa akaunti zake? Mradi wa JNHPP hauna manufaa?

Sioni haja ya kupewa nafasi ya kupoteza muda wa wakulima na wafanyabiashara.
Mzee naona bangi inakudhuru acha mara moja bora bugia cocaine hivi CCM kuna la maana walilofanya kwa miaka 60 ya utawala wao kuna sekta yoyote ambayo unaweza kuitizama na ukasema ok ubu tuwekee hicho walichofanya kwa miaka 60
 
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi bali kupotezea muda wananchi wasifanye shughuli za maendeleo.

Hivi hata hii leo ruhusa ya mikutano ya kisiasa ikipata ruhusa mtakuja kutuambia nini cha maana? Ripoti ya CAG imeibua ufisadi? Mbowe alifungiwa akaunti zake? Mradi wa JNHPP hauna manufaa?

Sioni haja ya kupewa nafasi ya kupoteza muda wa wakulima na wafanyabiashara.
Crap from low a IQ.
 
Back
Top Bottom