Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

Jitafakari
 
Ni ishu mpya? Kwani ndio mpaka msumbue wananchi kwa mikutano?
Mikutano inasumbuaje? Kwani unakokotwa kwa lazima kutoka nyumbani kwako! Huna hoja ndugu. Usichokipenda usilazimishe kila mtu asikipende.
 
Kwani kuhudhuria ni lazima? Hizo alizokuwa anakusanya marehemu zilifanya nini?
Kaa kwa kutulia, awamu hii hadi mnene kwa lugha.
 
Mikutano inasumbuaje? Kwani unakokotwa kwa lazima kutoka nyumbani kwako! Huna hoja ndugu. Usichokipenda usilazimishe kila mtu asikipende.
Acheni kusumbua watu, hakuna hoja za msingi mtazowaeleza wananchi. Waacheni wafanye kazi.
 
Tunawajua mlivyo weupe, hakuna jipya mtalosema.
Subiri oparesheni safisha ccm na mataga ianze! Hakika mtapoteana. Wabunge wenu watakimbia bunge ili kuwahi majimboni kwenda kusafisha hali ya hewa.
 
Subiri oparesheni safisha ccm na mataga ianze! Hakika mtapoteana. Wabunge wenu watakimbia bunge ili kuwahi majimboni kwenda kusafisha hali ya hewa.
Ahaaaa. Acha vichekesho.
 
Yaani kwenye nchi ya dunia ya tatu kulivyo na shida nyingi kwa wananchi, mwanasiasa akose cha kusema, sisi kama Chauma tuna yafuatayo
-Riba kwa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu itazamwe upya
-Shule za Umma hazina waalimu wa kutosha
-Kilimo bado hakijamkomboa Mtz
-Maboresho ya sheria na policy siwezi kutaja hapa page haitoshi
-Bima ya Afya kwa wananchi wote


NB:Tutadai zile Noah zetu za makinikia na ile 50m Mama aliyoahidi kila kivileji (kidding)

Yapo mengi mkuu
 
Ndugu kama wewe ulilelewa kwa manyanyaso na wazazi wako- ni wewe. Wengine tulilelewa kwa uhuru ndio maana tunathamini kila mtu kuwa huru. Kuleta chakula kizuri nyumbani isiwe tiketi ya kunyanyasa watoto.
Isitoshe mama kaomba akosolewe hivyo uovu wako utabaki nao moyoni mwako . Mungu akusamehe sana.[emoji120]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuwawajibisha wote waliohusika na utesaji wakati wa utawala wa jiwe.
Tume ya ukweli,haki na maridhiano.
Twitter ndio jukwaa lenu kuelezea pumba zote. Wananchi wapo busy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…