Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDMNaona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.
Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.
Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Hakuna Chadema mwenye akili cow dung kama wewe.Mimi chadema mkuu
Usipoteze kipaji chako. Ungana na waganga wa kienyeji, wale wapiga ramli chonganishi. Utasubiria sana. Lisu haendi kokote, alikwishakuambia kuwa yeye ana akili timamu.Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.
Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.
Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Waganga ndio wamemdanganya Lissu kwamba anaweza kuwa Mwenyekiti. Wamemuosha madawa njia panda huko Ikungi, mambo ya hovyo sana kumwambia mtu asaule njia pandaUsipoteze kipaji chako. Ungana na waganga wa kienyeji, wale wapiga ramli chonganishi. Utasubiria sana. Lisu haendi kokote, alikwishakuambia kuwa yeye ana akili timamu.
Wewe unataka Mbowe awe Mwenyekiti wa Maisha au?Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.
Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.
Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Kwa hiyo?Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.
Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.
Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Akipata kuwa mwenyekiti, kule bado mtachapisha fomu moja ya ugombea Urais?Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.
Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.
Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Hicho chama unajua akina nani walitoa fedha kukianzisha? Lissu ana mchango gani? Amekikuta njiani tu.Chadema anayeiua ni Mbowe
Tatizo hii nchi hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kuishi kiswahili Swahili minafiki
Hakuna mtu mkubwa au special zaidi ya chama
Na democracy unaanzia ndani ya vyama
Mbowe miaka 20 chadema inaenda mbele au inarudi nyuma?
Lazima tukubali ukweli Mbowe kumleta Lowassa chadema alifanya kosa ambalo alitakiwa kuwajibika!!
Lakini akaendelea kuchekewa tu mpaka sasahv imagine chama kina mbunge mmoja wakati kilishakuwa na wabunge 100
Mbowe sio special asijione special chadema inaweza kuwepo bila yeye mfano hakifa Leo na chadema kitakufa?
Mbowe kakitumia chadema kujinufaisha !!
Huu no ukweli mchungu apumzike na wengine waendelee akingangania Kama chama nu Cha familia kinamfia 2025!!
Achague kife au akae pembeni!!
PAragraph ya wabunge kutoka 100 mpaka kua na mbunge 1. Haina uhalaliChadema anayeiua ni Mbowe
Tatizo hii nchi hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kuishi kiswahili Swahili minafiki
Hakuna mtu mkubwa au special zaidi ya chama
Na democracy unaanzia ndani ya vyama
Mbowe miaka 20 chadema inaenda mbele au inarudi nyuma?
Lazima tukubali ukweli Mbowe kumleta Lowassa chadema alifanya kosa ambalo alitakiwa kuwajibika!!
Lakini akaendelea kuchekewa tu mpaka sasahv imagine chama kina mbunge mmoja wakati kilishakuwa na wabunge 100
Mbowe sio special asijione special chadema inaweza kuwepo bila yeye mfano hakifa Leo na chadema kitakufa?
Mbowe kakitumia chadema kujinufaisha !!
Huu no ukweli mchungu apumzike na wengine waendelee akingangania Kama chama nu Cha familia kinamfia 2025!!
Achague kife au akae pembeni!!
Kuanzisha sio hoja taasisi haifi muanzishaji akifa Watanzania nyie bado mijinga mijinga tuHicho chama unajua akina nani walitoa fedha kukianzisha? Lissu ana mchango gani? Amekikuta njiani tu.
Mkaanzishe chama chenu nyie walima alizeti, hicho chama kina asili ya kahawa na mlimaKuanzisha sio hoja taasisi haifi muanzishaji akifa Watanzania nyie bado mijinga mijinga tu
Karume na Nyerere waasisi wa CCM wapo wapi CCM imekufa?
Mengi yupo wapi ITV imekufa?
Kuanzisha anzisha tengeneza mifumo wengine waendelee
Chama kinatakiwa kuwa na sura ya kitaifa!!
Mjifunze kwa CUF , UDP na NCCR viko wapi baada ya waasisi kuvingangania?
Watanzania sio wajinga Kama mnavyowafikiria
Chama wapewe wakina lissu, Heche na nk
Kwamba wewe ukianzisha ndio mpaka ujinyee ukiwa madarakani ?
Yote kumi tungojee tuone ukomavu wa kidemokrasia wa Chadema. Lissu ametimiza wajibu wake. fullstop.Chadema anayeiua ni Mbowe
Tatizo hii nchi hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kuishi kiswahili Swahili minafiki
Hakuna mtu mkubwa au special zaidi ya chama
Na democracy unaanzia ndani ya vyama
Mbowe miaka 20 chadema inaenda mbele au inarudi nyuma?
Lazima tukubali ukweli Mbowe kumleta Lowassa chadema alifanya kosa ambalo alitakiwa kuwajibika!!
Lakini akaendelea kuchekewa tu mpaka sasahv imagine chama kina mbunge mmoja wakati kilishakuwa na wabunge 100
Mbowe sio special asijione special chadema inaweza kuwepo bila yeye mfano hakifa Leo na chadema kitakufa?
Mbowe kakitumia chama Cha chadema kujinufaisha !!
Huu ni ukweli mchungu apumzike na wengine waendelee akingangania Kama chama nu Cha familia kinamfia 2025!!
Achague kife au akae pembeni!!
Binafsi Mimi natoka kasikazini but ukweli huyu jamaa inatoshaMkaanzishe chama chenu nyie walima alizeti, hicho chama kina asili ya kahawa na mlima
#mlima
Mbowe ana Sera mpya gani miaka hii kafungwa katika lakini bado ule ushawishi HanaYote kumi tungojee tuone ukomavu wa kidemokrasia wa Chadema. Lissu ametimiza wajibu wake. fullstop.
๐๐๐๐Hivi kwenye hii nchi wanaoteseka sana ni nani si wanachama wa Mbowe yule mzee sijui kawafanya nini hamsikii la mnadi swala wala la muaziniNaona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM