Hata Msigwa alianza kwa vitisho kwamba Mbowe lazima aondoke uenyekiti Chadema, baadae akaenda kumuona Lissu Singida, kisha akaenda CCM

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.

Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.

Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
 
Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM
 
Chadema anayeiua ni Mbowe

Tatizo hii nchi hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kuishi kiswahili Swahili minafiki

Hakuna mtu mkubwa au special zaidi ya chama

Na democracy unaanzia ndani ya vyama

Mbowe miaka 20 chadema inaenda mbele au inarudi nyuma?

Lazima tukubali ukweli Mbowe kumleta Lowassa chadema alifanya kosa ambalo alitakiwa kuwajibika!!

Lakini akaendelea kuchekewa tu mpaka sasahv imagine chama kina mbunge mmoja wakati kilishakuwa na wabunge 100

Mbowe sio special asijione special chadema inaweza kuwepo bila yeye mfano hakifa Leo na chadema kitakufa?

Mbowe kakitumia chama Cha chadema kujinufaisha !!

Huu ni ukweli mchungu apumzike na wengine waendelee akingangania Kama chama nu Cha familia kinamfia 2025!!

Achague kife au akae pembeni!!
 
Usipoteze kipaji chako. Ungana na waganga wa kienyeji, wale wapiga ramli chonganishi. Utasubiria sana. Lisu haendi kokote, alikwishakuambia kuwa yeye ana akili timamu.
 
Waganga ndio wamemdanganya Lissu kwamba anaweza kuwa Mwenyekiti. Wamemuosha madawa njia panda huko Ikungi, mambo ya hovyo sana kumwambia mtu asaule njia panda
 
Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.

Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.

Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Wewe unataka Mbowe awe Mwenyekiti wa Maisha au?
 
Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.

Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama.

Sasa ni zamu ya rafiki mkubwa wa Msigwa kufata mkondo
Kwa hiyo?
 
Akipata kuwa mwenyekiti, kule bado mtachapisha fomu moja ya ugombea Urais?
 
Chadema anayeiua ni Mbowe

Tatizo hii nchi hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kuishi kiswahili Swahili minafiki

Hakuna mtu mkubwa au special zaidi ya chama

Na democracy unaanzia ndani ya vyama

Mbowe miaka 20 chadema inaenda mbele au inarudi nyuma?

Lazima tukubali ukweli Mbowe kumleta Lowassa chadema alifanya kosa ambalo alitakiwa kuwajibika!!

Lakini akaendelea kuchekewa tu mpaka sasahv imagine chama kina mbunge mmoja wakati kilishakuwa na wabunge 100

Mbowe sio special asijione special chadema inaweza kuwepo bila yeye mfano hakifa Leo na chadema kitakufa?

Mbowe kakitumia chadema kujinufaisha !!

Huu no ukweli mchungu apumzike na wengine waendelee akingangania Kama chama nu Cha familia kinamfia 2025!!

Achague kife au akae pembeni!!
Hicho chama unajua akina nani walitoa fedha kukianzisha? Lissu ana mchango gani? Amekikuta njiani tu.
 
PAragraph ya wabunge kutoka 100 mpaka kua na mbunge 1. Haina uhalali
 
Hicho chama unajua akina nani walitoa fedha kukianzisha? Lissu ana mchango gani? Amekikuta njiani tu.
Kuanzisha sio hoja taasisi haifi muanzishaji akifa Watanzania nyie bado mijinga mijinga tu

Karume na Nyerere waasisi wa CCM wapo wapi CCM imekufa?

Mengi yupo wapi ITV imekufa?

Kuanzisha anzisha tengeneza mifumo wengine waendelee

Chama kinatakiwa kuwa na sura ya kitaifa!!

Mjifunze kwa CUF , UDP na NCCR viko wapi baada ya waasisi kuvingangania?

Watanzania sio wajinga Kama mnavyowafikiria

Chama wapewe wakina lissu, Heche na nk

Kwamba wewe ukianzisha ndio mpaka ujinyee ukiwa madarakani ?
 
Mkaanzishe chama chenu nyie walima alizeti, hicho chama kina asili ya kahawa na mlima

#mlima
 
Chadema anayeiua ni Mbowe

Tatizo hii nchi hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kuishi kiswahili Swahili minafiki

Hakuna mtu mkubwa au special zaidi ya chama

Na democracy unaanzia ndani ya vyama

Mbowe miaka 20 chadema inaenda mbele au inarudi nyuma?

Lazima tukubali ukweli Mbowe kumleta Lowassa chadema alifanya kosa ambalo alitakiwa kuwajibika!!

Lakini akaendelea kuchekewa tu mpaka sasahv imagine chama kina mbunge mmoja wakati kilishakuwa na wabunge 100

Mbowe sio special asijione special chadema inaweza kuwepo bila yeye mfano hakifa Leo na chadema kitakufa?

Mbowe kakitumia chama Cha chadema kujinufaisha !!

Huu ni ukweli mchungu apumzike na wengine waendelee akingangania Kama chama nu Cha familia kinamfia 2025!!

Achague kife au akae pembeni!!
Yote kumi tungojee tuone ukomavu wa kidemokrasia wa Chadema. Lissu ametimiza wajibu wake. fullstop.
 
Mkaanzishe chama chenu nyie walima alizeti, hicho chama kina asili ya kahawa na mlima

#mlima
Binafsi Mimi natoka kasikazini but ukweli huyu jamaa inatosha

Utaona aking'ang'ania by 2025 Kama kitapata hata mbunge mmoja uje uniue

Chama kinaongesha kila Dali za kuanguka kinahitaji mabadiliko ya kweli !!
 
Yote kumi tungojee tuone ukomavu wa kidemokrasia wa Chadema. Lissu ametimiza wajibu wake. fullstop.
Mbowe ana Sera mpya gani miaka hii kafungwa katika lakini bado ule ushawishi Hana

Anajificha kwenye chama kufanya mambo yake uku umma ukitaka babadiliko anabadili gia angani

Mbowe aliwakosea Sana Watanzania 2015
 
Naona CCM mnavyoteseka Baada ya Lisu kuonyesha nia ya kuwania Uenyekiti CDM
😀😀😀😀Hivi kwenye hii nchi wanaoteseka sana ni nani si wanachama wa Mbowe yule mzee sijui kawafanya nini hamsikii la mnadi swala wala la muazini
 
Back
Top Bottom