Hata muweke nini ila kama hakuna haki leo mkifa mtabaki makaburini bila kumbukumbu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake.
images (30).jpeg

Kwa nini na sema ili ?.Hana jipya wala lolote labda kukumba shuka jioni kuwa nchi inaelekea kubaya wakati mda umekwisha.

Leo kuna watu wanafikiri wanaishi kama wao ila katika watu ambao hata wakifa kesho , hata mbwa ukimuuliza anaweza kutobweka.

wa kwanza raisi,mawaziri,mkuu wa majeshi,jaji mkuu,wabunge wake.
 
Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake.View attachment 3621889

Leo kuna watu wanafikiri wanaishi kama wao ila katika watu ambao hata wakifa kesho wanaweza hata mbwa ukimuuliza anaweza kutobweka.

wa kwanza raisi,mawaziri,mkuu wa majeshi,jaji mkuu,wabunge wake.
Screenshot_20260618_220611_WhatsApp.jpg

Eti, eti, eti 'kifo ni kifo tu' alinena bibi mmoja.
 
Tokea kufa kwake mpaka leo uwezi kusikia huyu alijiona dunia yake.View attachment 3621889
Kwa nini na sema ili ?.Hana jipya wala lolote labda kukumba shuka jioni kuwa nchi inaelekea kubaya wakati mda umekwisha.

Leo kuna watu wanafikiri wanaishi kama wao ila katika watu ambao hata wakifa kesho , hata mbwa ukimuuliza anaweza kutobweka.

wa kwanza raisi,mawaziri,mkuu wa majeshi,jaji mkuu,wabunge wake.
Gentleman,
"Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida"

huo ushirikina ni kitu useless tu.
ukifa wewe ndio imetoka hiyo, wale walio hai wanapaswa kusonga mbele na sio kuendekeza ushirikina useless kama huo unaoeleza gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom