Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu mara kwa mara. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi.
Nini umekiona kwenye jukwaa wiki hii kikakufurahisha?
Nini umekiona kwenye jukwaa wiki hii kikakufurahisha?