Hata nikiwa na stress nikija humu JF zote zinayeyuka, anyway, kwaherini ya kuonana!

Hata nikiwa na stress nikija humu JF zote zinayeyuka, anyway, kwaherini ya kuonana!

Hata nikiwa na stress nikija JF zinayeyuka!

Anyway kwaheri ya kuonana naenda Lagos kufanya kitu na Tems.

This Week's Best Threads:
1. Kwanini watu huona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe.
-by Binti Sayuni03 & Mwachiluwi kama mchangiaji mkuu
🙂

2. Kitu gani mtoto alisema kikakushangaza.
-by Mshangazi dot com

3. Katuni za Masoud
-by Faana

4. Hasara juu ya hasara
-by Mshana Jr

5. Nakuwa na hamu nae ila tukimaliza namchukia
-by Lamomy

6. Kufinyia kwa ndani
-by kadogo2

7. Upweke uliopitiliza
-by PSL god

8. Wapenzi waliopishana umri wanaongea nini wakiwa chumbani
-by Tajiri Sinabay

9. Picha za warembo
-by Jambazi courtesy of Swahili AI Midekoo Mbaga Jr

10. Uzi wa kupeana likes
-Credits to Numbisa
 
1743100367921.jpg
 

Attachments

  • 1743100367921.jpg
    1743100367921.jpg
    34.5 KB · Views: 14
Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi.

Nini umekiona kwenye jukwaa wiki hii kikakufurahisha?

View attachment 3285220
Cc:
Mpwa Nomadix & bonjov
Mkuu hakuna ubize wa namna hiyo duniani kushindwa kupata hata 30 min ya releaf katika saa24!

Una hila ya kuwakwepa members wanaofuatilia vimbwanga vyako kwa njia ya kukufurahisha na saazingine kukukera.

Umeona sasa ya kazi gani, wamekuzoea!
 
Hata nikiwa na stress nikija JF zinayeyuka!

Anyway kwaheri ya kuonana naenda Lagos kufanya kitu na Tems.

This Week's Best Threads:
1. Kwanini watu huona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe.
-by Mwachiluwi
2. Kitu gani mtoto alisema kikakushangaza.
-by Mshangazi dot com
3. Katuni za Masoud
-by Faana
4. Hasara juu ya hasara
-by Mshana Jr
5. Nakuwa na hamu nae ila tukimaliza namchukia
-by Lamomy
6. Kufinyia kwa ndani
-by kadogo2
7. Upweke uliopitiliza
-by PSL god
8. Wapenzi waliopishana umri wanaongea nini wakiwa chumbani
-by Tajiri Sinabay
9. Picha za warembo
-by Jambazi courtesy of Swahili AI Midekoo Mbaga Jr
10. Uzi wa kupeana likes
-Credits to Numbisa
Asante mpwa, we ni mtu wa nguvu sana. Nitakumiss 💕💕
 
Back
Top Bottom