Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Sawa jipangeni vizuri mje, nasubiri kuona mtanisindikizaje
Sawa jipangeni vizuri mje, nasubiri kuona mtanisindikizaje
Hawa wanatosha kabisa kuliendeleza, rasmi namkabidhi kijiti cha uandishi Binti Sayuni03 atasaidiwa na wote uliowataja, Jukwaa la wanawake litasonga.Jukwaa la wanawake unawaachia kina realMamy Anastasia21 Binti Sayuni03 & Mallerina
Hahaha hawa ni vichaa utakuta wamelibadili limekuwa jukwaa la wambea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mitano tena 😅Jukwaa la wanawake unawaachia kina realMamy Anastasia21 Binti Sayuni03 & Mallerina
Hahaha hawa ni vichaa utakuta wamelibadili limekuwa jukwaa la wambea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thank you for everything ... Wewe ni WA thamani Sana kwangu!Kipenzi changu 😍 , mdogo akeeee. Usilie buana 🥹🥹🥹
Na Mimi unikabidhi kwake mdogo ako 😂Hawa wanatosha kabisa kuliendeleza, rasmi namkabidhi kijiti cha uandishi Binti Sayuni03 atasaidiwa na wote uliowataja, Jukwaa la wanawake litasonga.
Shindwa shetani 😁😁😁Jukwaa la wanawake unawaachia kina realMamy Anastasia21 Binti Sayuni03 & Mallerina
Hahaha hawa ni vichaa utakuta wamelibadili limekuwa jukwaa la wambea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe unaenda wapi😁😁Hawa wanatosha kabisa kuliendeleza, rasmi namkabidhi kijiti cha uandishi Binti Sayuni03 atasaidiwa na wote uliowataja, Jukwaa la wanawake litasonga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mitano tena
Jaman m sio mbea 😹😹😹😹 mm wa songeaJukwaa la wanawake unawaachia kina realMamy Anastasia21 Binti Sayuni03 & Mallerina
Hahaha hawa ni vichaa utakuta wamelibadili limekuwa jukwaa la wambea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🥹 😍 😍Thank you for everything ... Wewe ni WA thamani Sana kwangu!
Nakupenda ... Uwe Majukumu mema ya kazi
Pole yake aache utapeliTapeli amejaa kwenye mfumo, kamuuzia nyumba famba mwanajeshi wa JWTZ milioni 20 kamtapeli,kilichompata ndio kama unayoona ,na hapo ni kambiniView attachment 3285229View attachment 3285230View attachment 3285230
Kumbe shetani yupo humu 😁😁🙌Satan unaitwa huku
[emoji1787]
Ahaa huko kwa matapeliJaman m sio mbea, mm wa songea
Sawaaaaa 😜😊[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha ila realmamy haya bhana! Weekend twende live band.
Ila wewe unanichekeshaga unavyoanzaga kwenye post zakoMbona kama wewe ndio kituko namba moja humu!!!
Asante kijana wasalimie hukoHata nikiwa na stress nikija JF zinayeyuka!
Anyway kwaheri ya kuonana naenda Lagos kufanya kitu na Tems.
This Week's Best Threads:
1. Kwanini watu huona aibu kuongeza chakula kwenye sherehe.
-by Binti Sayuni03 & Mwachiluwi kama mchangiaji mkuu
🙂
2. Kitu gani mtoto alisema kikakushangaza.
-by Mshangazi dot com
3. Katuni za Masoud
-by Faana
4. Hasara juu ya hasara
-by Mshana Jr
5. Nakuwa na hamu nae ila tukimaliza namchukia
-by Lamomy
6. Kufinyia kwa ndani
-by kadogo2
7. Upweke uliopitiliza
-by PSL god
8. Wapenzi waliopishana umri wanaongea nini wakiwa chumbani
-by Tajiri Sinabay
9. Picha za warembo
-by Jambazi courtesy of Swahili AI Midekoo Mbaga Jr
10. Uzi wa kupeana likes
-Credits to Numbisa
Narudi kazini mimiWewe unaenda wapi😁😁
[emoji7]Sawaaaaa