Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #41
Siwezi kufanya hivyo, nikitaka ID si nafungua mpya tu, najiita "chizi mwanamke"Huwa zinashtukiwa zinadorora watu wanazikimbia 🤣😂😂😂😂😂
Siwezi kufanya hivyo, nikitaka ID si nafungua mpya tu, najiita "chizi mwanamke"Huwa zinashtukiwa zinadorora watu wanazikimbia 🤣😂😂😂😂😂
anh sorry nilichanganyaKaka hiyo thread sio yangu mm nilikuwa mchangiaji tu
Unataka nikuachaje Tumwesige senior wangu 😌Mshangazi dot com unaniachaje
Usijaranh sorry nilichanganya
Unataka nikuachaje Tumwesige senior wangu
Mamyyy 🥺 💕 💕Jamani 🥺
I will miss you ☺️😍Nakupenda pia babes, nitakumiss
Nishakuzoea mimi Aunt 🙃Mamyyy 🥺 💕 💕
Haya nazisubiria, waendeleze na za kike 😅 🤭Ngoja nimsaidie:
1. Limjomba.com;
2. ......
3.........
Nawaachua wengine waendeleze.
Kipenzi changu my dyadyaaa ntakumisss sanaaamakutupora , ukiachana na mtu anayefuta nyuzi zangu za mapenzi na wale wanaotukana tukana, huwa nikiingia humu ni burudani tu.
[emoji7][emoji7][emoji7]Asante mpwa, we ni mtu wa nguvu sana. Nitakumiss
😉😉😉[emoji7][emoji7][emoji7]
Nitakumiss pia mu-aunt pro bawse lady busybee
Ukinikumbuka naomba ukumbuke maneno haya.
Do not love half lovers,
Do not entertain half friends,
Do not live half a life,
Do not die a half death,
if you choose silence then be silent,
if you speak then do so until you finish,
Nice! Am glad we're on the same pageDo not silence yourself to say something,
And do not speak to be silent.
If you accept, then express it bluntly.
Do not mask it.
If you refuse, then be clear about it,
For an ambiguous refusal is but a weak acceptance.
Kipenzi changu 😍 , mdogo akeeee. Usilie buana 🥹🥹🥹Kipenzi changu my dyadyaaa ntakumisss sanaaa
Nimelia sana 😭
Lazima aondoke na faida🤣Wanaume tujiongeze asiondoke hivi hivi
So many people have made me feel better in here 🥹 wewe na nyuzi zako are among those people 💕. Asanteni sana!
Sawa jipangeni vizuri mje, nasubiri kuona mtanisindikizaje 🤣🤣Wanaume tujiongeze asiondoke hivi hivi