Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Nenda kampikie mume wako.Wiki ijayo narudi kazini sitakua na muda tena wa kuingia humu. Njooni mshare na mimi vituko vya mwisho mwisho basi, nikiwamiss nije kuusoma huu uzi.
Nini umekiona kwenye jukwaa wiki hii kikakufurahisha?
View attachment 3285220
Cc:
Mpwa Nomadix & bonjov
Unaenda kuolewa wewe