Hata nikiwa na stress nikija humu JF zote zinayeyuka, anyway, kwaherini ya kuonana!

Mimi kinachonishangaza ni watu wanaolock ID zao, yaani unataka uende inbox mkasemezane vizuri unakuta mtu amelock! Dah! Ni kama wale wanaotoa namba mkianza kuwasiliana anakuwa harespond au hata akirespond ni short short tu, inakuwaje hii??
 
Mwanamke mzuri huyu nampenda.
Kikwajuni One jamaniiiiii 🤭 🤭
Erica Blushing GIF by Big Brother Naija.gif
 
Mkuu hakuna ubize wa namna hiyo duniani kushindwa kupata hata 30 min ya releaf katika saa24!

Una hila ya kuwakwepa members wanaofuatilia vimbwanga vyako kwa njia ya kukufurahisha na saazingine kukukera.

Umeona sasa ya kazi gani, wamekuzoea!
Ndo maisha Sakasaka Mao , inanilazimu. Ila nikipata muda on weekends, nitakua nakuja kuwasalimu na kushusha nyuzi za vimbwanga vya hapa na pale.
 
Mimi kinachonishangaza ni watu wanaolock ID zao, yaani unataka uende inbox mkasemezane vizuri unakuta mtu amelock! Dah! Ni kama wale wanaotoa namba mkianza kuwasiliana anakuwa harespond au hata akirespond ni short short tu, inakuwaje hii??
Mh! Kuwa makini kuna majini huku
 
Mimi kinachonishangaza ni watu wanaolock ID zao, yaani unataka uende inbox mkasemezane vizuri unakuta mtu amelock! Dah! Ni kama wale wanaotoa namba mkianza kuwasiliana anakuwa harespond au hata akirespond ni short short tu, inakuwaje hii??
Binafsi nilichoka usumbufu nikaifunga, kuna watu siyo wastaarabu!
 
Back
Top Bottom