Hata sijamtongoza

Kula mzigo hapo, ukimwacha tuu atakudharau sana..
 
.....ndio kakutongoza yeye, we umekalia hata sijamtongoza! Mpe jibu lake mwenzio, ukizubaa anakuharibia uhusiano wako na mpenzi wako.
 
.....ndio kakutongoza yeye, we umekalia hata sijamtongoza! Mpe jibu lake mwenzio, ukizubaa anakuharibia uhusiano wako na mpenzi wako.
hana huo uwezo
ananiheshim sana
 
Kama unajijua una mpenzi inatakiwa kuwe na mipaka kwa hao marafiki zako,
ushalikoroga mpe tu hizo hela
mi ningekuwa huyo dem nakuomba tu, yani naomba tu
eti una mpenzi hata sisimizi nae ana mpenzi wake

hahaaaaa, natamani sana kumuona mtu aliye nyuma ya hiyo avatar
 
kwa nin sasa wewe hukumwambia ukweli alipokupigia simu hata wewe unampenda..epuka michepuko ndugu kuwa mkweli..
 
Hapo utakuta unchunwa tu hata hajawaza kukupa papuchi
ila we unahisi utapewa basi bichwa hiloooooo
ngoja ailete ndo ukatae.
tatizo sio kuchunwa hata ww ukiwa nashida naweza kukusaidia,tabia yangu mm huwa nafata moyo wangu ukimpenda girl simuachi lazima nigonge papuch kwa garama yeyote ndivyo nilivyo bt kama sijakupenda nakuona kama kichefuchefu
 

Simba mla nyama hachaguliwi pori la kuwinda.
 
hyo text haikuwa yako,alikosea tu...hahahahaaaa!
 
mpe hela bwana akanunue nguo anayoipenda ... afu we mwanaume uwezi kuwa na mipaka na wasi wasi na we ngoja nikufuate PM nikuombe hela ya saluni unaonekana mtoajei mzuri sana
 
Mpenz ni wako si wake
Kila mtu ana nafasi yake
Vitu vidogo kama hivi fikir kwa akili yako mtu gan huna urafiki wa mipaka??
Unataka unataka ushaur gan while yeye kashapanga kuja dar na wewe utume pesa za nguo
 

Sasa unashindwa nini kumwambia kuwa huna pesa na zaidi una mke? Utakuja kujiweka kwenye matatizo yasiyokuwa na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…