Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unajijua una mpenzi inatakiwa kuwe na mipaka kwa hao marafiki zako,
ushalikoroga mpe tu hizo hela
mi ningekuwa huyo dem nakuomba tu, yani naomba tu
eti una mpenzi hata sisimizi nae ana mpenzi wake
hahaaaaa, natamani sana kumuona mtu aliye nyuma ya hiyo avatar
Nikimgegeda ataning'ang'ania ndo maana simtaki
Nimekutumia picha yake kwa pm...
tatizo sio kuchunwa hata ww ukiwa nashida naweza kukusaidia,tabia yangu mm huwa nafata moyo wangu ukimpenda girl simuachi lazima nigonge papuch kwa garama yeyote ndivyo nilivyo bt kama sijakupenda nakuona kama kichefuchefuHapo utakuta unchunwa tu hata hajawaza kukupa papuchi
ila we unahisi utapewa basi bichwa hiloooooo
ngoja ailete ndo ukatae.
Habarini wana JF,
Nina rafiki yangu wa kike tulisoma nae elimu ya sekondari tulipendana kama marafiki na alikuwa akinipenda sana ila mimi sikumpenda kimapenzi japo ni mzuri,miaka minne imepita sikuwa na mawasiliano nae kwa sababu nilikuwa mbali nikiendelea na masomo ya juu, yeye yupo Arusha na mimi nilirejea Dar,akapata mawasiliano yangu tukawa tunawasiliana alilalamika sana sababu sikutaka kumtafuta,akaanza kuniomba vocha,pesa vyote nilimsaidia kibinadamu.
Nimekuja kushtuka jana baada ya kuniambia baby naomba hela nikanunue kuna nguo nimeipenda halafu wiki ijayo nakuja.
Msaada jaman na mimi nina mpenzi wangu.
Kula mzigo hapo, ukimwacha tuu atakudharau sana..
atanifanye mume wake?nilikuwa namjali kama rafiki tuliotoka nae mbali bt now asahau kabisa