Hata Tundu Lissu hawezi shinda kesi ya Bil 260 ICSID. Wanaohusika na kuingia mikataba mibovu wanyongwe

Ulikuwa ujinga wa ajabu, kwanza hakukuwa na uzalishaji, pili leseni ilikuwa inaisha ndani ya three years ambayo ulikuwa muda mfupi sana ukilinganisha na hela inayolipwa. Kesi walishindwa toka wakiwa Bagamoyo Mruma ameniaibisha sana... kila kitu cha kufanya washinde kesi walikitia kapuni. Huku bi tozo kabakiza kuwarembulia tu. Inatia hasira. Kule mkuju napo Rostam anaandaa bomu jingine ngoja warusi wakae sawa tutanyooka tu.
Hili ni jangili kuu likisaidiwa na mzee wa Msoga
 
Tujenge sehemu ya kunyongea watu pale mnazi mmoja tuanze na wale wa madini na vitalu vya Gas Mtwara na Lindi kisha tuje huu mkataba wa bandari!
Baada ya hapo kamwe tz hatutaona tena mikataba ya kifisadi,
Wahusika wanalindwa na bunduki kila siku iba kuku uone moto wake
 
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

Attachments

  • 9E0407DA-3A3F-4B7E-AE70-41648EC61618.jpeg
    9E0407DA-3A3F-4B7E-AE70-41648EC61618.jpeg
    46.9 KB · Views: 3
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

Tatizo siyo hilo la rushwa. Hawapewi senti tano ya rushwa.

Huwezi kujimwambai katika mikataba ya Kimataifa, inalindwa Kimataifa.

Ukiingia mkataba wa Kimataifa ukajitowa bila kufata sheria, au ukachelewesha malipo mliyokubaliana ujuwe imakula kwako.

Tatizo letu ni ujinga.

sasa utamnyonga mtu kishakufa? Aliyekuwa analazimisha anachptaka yeye kwa ulevi wa madaraka.

Labda anyongwe Kabudi aliyekuwa kila"yes sir".
 
Lissu aliwahi kushinda kesi gani kwenye uga wa kimataifa, kelele zake ni kwa wapuuzi wa hapa ndani

USSR

..kesi za kimataifa nje ya nchi huwa hazitetewi na mawakili waliosajiliwa hapa Tz.

..Zinatetewa na mawakili wenye usajili wa kutetea kesi ktk mahakama ambako kesi hizo husikilizwa.

..kwa mfano, kesi ikisikilizwa Uingereza basi serikali yetu na kampuni inayotushitaki watalazimika kuajiri au kukodi mawakili wenye usajili wa kutetea kesi ktk mahakama za Uingereza.

..Sasa ushiriki wa mawakili wa serikali ya Tz ktk kesi zinazoendeshwa nje ya nchi ni ktk kukusanya vidhibiti / vielelezo / mashahidi.
 
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

CCM mmeshindwa kesi kijinga, alafu unataka kutuaminisha nini hapa? Hakuna anayewahonga CCM isipokuwa akili matope ndo wamejaa CCM
 
Tatizo siyo hilo la rushwa. Hawapewi senti tano ya rushwa.

Huwezi kujimwambai katika mikataba ya Kimataifa, inalindwa Kimataifa.

Ukiingia mkataba wa Kimataifa ukajitowa bila kufata sheria, au ukachelewesha malipo mliyokubaliana ujuwe imakula kwako.

Tatizo letu ni ujinga.

sasa utamnyonga mtu kishakufa? Aliyekuwa analazimisha anachptaka yeye kwa ulevi wa madaraka.

Labda anyongwe Kabudi aliyekuwa kila"yes sir".
Hadi raha sana, nimefurahi sana CCM kushindwa mahakamani, CCM level yake ni walimu tu wa bongo ambao walifutiwa mkataba walioingia na serikali akaja mwamba, chuma, jiwe, mtu hatari, mtaalamu, simba, msomi akayafuta kwa dharau, kejeli, nk.

Hata CWT ni wajinga hakuna wanacho saidia wanachama wao, huu ndo mda wa kwenda mahakamani kudai arreas zenu za miaka yote mliokanyagwa na jiwe kodini Mh Lissu na Kibatala asubuhi mmeshinda kesi

Lakini watanganyika ni ng'ombe tu hakuna mwenye uelewa ndani ya CWT, walimu mmekuwa machawa hadi mnaboa!
 
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

Si wangemchagua Riz 1 aende kuitetea Tanzania sini mwanasheria,halafu baba yake ana uwezo ana pokea 80% ya mshahara wa Samia na mama yake ni mbunge.
 
😆😆😆😆
 
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

Kwahiyo kipimo chako ni Lissu kisa Chadema! Kwanini usijipime wewe.
 
Mwingine huyo anadai $1.6 billion hawa jamaa ni muda wakutafuta diaspora wenye uelewa wa maswala ya biashara na kujadili nao hizo claims.

Kwa sasa wazungu hiyo nchi wameigeuza sehemu ya kupata nyingi kirahisi.
 
Mbona pale kesi ni rahisi nyie kushindwa.

Kwanini mliwatoa RL wakati mngewaachia ilikuwa inaisha mwaka huu kama walikuwa hawajaanza uzalishaji?
Kukurupuka kuna matokeo mabaya mno
 
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

Utashinda je mkataba wa hovyo kiasi hicho, dawa ni wahusika wawajibishwe kwelikweli.
 
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.

Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.

Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?

Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.

Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?

Umenena kweli !!
 
Ndo walinywe vinginevyo hizi ndege zitaendelea kamatwa na tutalipa hadi kesi zote ziishe
Ndo walinywe au ndo tulinywe sisi walipa kodi ukiwemo na wewe ??!!

Maisha yetu yataendelea kuwa magumu !!
 
Back
Top Bottom