Hadi raha sana, nimefurahi sana CCM kushindwa mahakamani, CCM level yake ni walimu tu wa bongo ambao walifutiwa mkataba walioingia na serikali akaja mwamba, chuma, jiwe, mtu hatari, mtaalamu, simba, msomi akayafuta kwa dharau, kejeli, nk.
Hata CWT ni wajinga hakuna wanacho saidia wanachama wao, huu ndo mda wa kwenda mahakamani kudai arreas zenu za miaka yote mliokanyagwa na jiwe kodini Mh Lissu na Kibatala asubuhi mmeshinda kesi
Lakini watanganyika ni ng'ombe tu hakuna mwenye uelewa ndani ya CWT, walimu mmekuwa machawa hadi mnaboa!