Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hili ni jangili kuu likisaidiwa na mzee wa MsogaUlikuwa ujinga wa ajabu, kwanza hakukuwa na uzalishaji, pili leseni ilikuwa inaisha ndani ya three years ambayo ulikuwa muda mfupi sana ukilinganisha na hela inayolipwa. Kesi walishindwa toka wakiwa Bagamoyo Mruma ameniaibisha sana... kila kitu cha kufanya washinde kesi walikitia kapuni. Huku bi tozo kabakiza kuwarembulia tu. Inatia hasira. Kule mkuju napo Rostam anaandaa bomu jingine ngoja warusi wakae sawa tutanyooka tu.
Wahusika wanalindwa na bunduki kila siku iba kuku uone moto wakeTujenge sehemu ya kunyongea watu pale mnazi mmoja tuanze na wale wa madini na vitalu vya Gas Mtwara na Lindi kisha tuje huu mkataba wa bandari!
Baada ya hapo kamwe tz hatutaona tena mikataba ya kifisadi,
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
Tatizo siyo hilo la rushwa. Hawapewi senti tano ya rushwa.Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
Lissu aliwahi kushinda kesi gani kwenye uga wa kimataifa, kelele zake ni kwa wapuuzi wa hapa ndani
USSR
CCM mmeshindwa kesi kijinga, alafu unataka kutuaminisha nini hapa? Hakuna anayewahonga CCM isipokuwa akili matope ndo wamejaa CCMHivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
Hadi raha sana, nimefurahi sana CCM kushindwa mahakamani, CCM level yake ni walimu tu wa bongo ambao walifutiwa mkataba walioingia na serikali akaja mwamba, chuma, jiwe, mtu hatari, mtaalamu, simba, msomi akayafuta kwa dharau, kejeli, nk.Tatizo siyo hilo la rushwa. Hawapewi senti tano ya rushwa.
Huwezi kujimwambai katika mikataba ya Kimataifa, inalindwa Kimataifa.
Ukiingia mkataba wa Kimataifa ukajitowa bila kufata sheria, au ukachelewesha malipo mliyokubaliana ujuwe imakula kwako.
Tatizo letu ni ujinga.
sasa utamnyonga mtu kishakufa? Aliyekuwa analazimisha anachptaka yeye kwa ulevi wa madaraka.
Labda anyongwe Kabudi aliyekuwa kila"yes sir".
HakikaTujenge sehemu ya kunyongea watu pale mnazi mmoja tuanze na wale wa madini na vitalu vya Gas Mtwara na Lindi kisha tuje huu mkataba wa bandari!
Baada ya hapo kamwe tz hatutaona tena mikataba ya kifisadi,
Sijawahi kuwa CCMCCM mmeshindwa kesi kijinga, alafu unataka kutuaminisha nini hapa? Hakuna anayewahonga CCM isipokuwa akili matope ndo wamejaa CCM
Si wangemchagua Riz 1 aende kuitetea Tanzania sini mwanasheria,halafu baba yake ana uwezo ana pokea 80% ya mshahara wa Samia na mama yake ni mbunge.Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
ππππSi wangemchagua Riz 1 aende kuitetea Tanzania sini mwanasheria,halafu baba yake ana uwezo ana pokea 80% ya mshahara wa Samia na mama yake ni mbunge.
Kwahiyo kipimo chako ni Lissu kisa Chadema! Kwanini usijipime wewe.Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
Kukurupuka kuna matokeo mabaya mnoMbona pale kesi ni rahisi nyie kushindwa.
Kwanini mliwatoa RL wakati mngewaachia ilikuwa inaisha mwaka huu kama walikuwa hawajaanza uzalishaji?
Utashinda je mkataba wa hovyo kiasi hicho, dawa ni wahusika wawajibishwe kwelikweli.Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
Ndo walinywe vinginevyo hizi ndege zitaendelea kamatwa na tutalipa hadi kesi zote ziisheKukurupuka kuna matokeo mabaya mno
Umenena kweli !!Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea nini?
Suluhisho la haya mambo ni tushughulike huku kwetu hasa tunapoingia mikataba na tenda mtu akiingi mkataba mbovu ni anyongwe tu awe mfano maana hizo pesa zinazopotea zingeweza okoa maisha ya Watanzania wengi.
Na Watanzania tufunguke mtu kaingia mkataba mbovu 2013 /2014 unakuja unavunjwa 2017 analaumiwa alievunja alie ingia katulia anaejoy life, tuko serious kweli?
Ndo walinywe au ndo tulinywe sisi walipa kodi ukiwemo na wewe ??!!Ndo walinywe vinginevyo hizi ndege zitaendelea kamatwa na tutalipa hadi kesi zote ziishe
Shida ni aliye ingia mikataba kwa Manufaa yake