kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko.
Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi.
Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama vingi ninini.
Uelewa umekuwa ukiongezeka taratibu na kwa sana hata vijijini wana uelewa mpana wa siasa za vyama vingi.
Mgombea uraisi kipindi hicho upande wa upinzani alikua Ryatonga Mrema kupitia NCCR na upande wa CCM alikua Willium Mkapa.
Nilikua Iringa kipindi hicho. Mchuano mkali pale Iringa mjini alikua Hassy Kitine vs Mfaramagoha.
Pamoja na rafu kadhaa za CCM bado jimbo lilienda Nccr mageuzi. Vivyo hivyo mbeya mjini, Da es salaam, kigoma pia.
Nguvu ya upinzani imezidi kukua kutokana na uelewa mkubwa wa jamii na kutishia hata nafasi ya chama tawala.
Eti over the sudden. Anakuja mtu anandaa uchaguzi then anatuambia majimbo yote inchi nzima hata kwnye strong hold za upinzani yamechukuliwa na CCM. Haingii akilini mwa waelewa.