Uchaguzi 2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

Uchaguzi 2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

Tutamkumbuka sana aliyekua...

Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungala maarufu 'Bwege' amemuomba...

Cc: mahondaw
 
Nimeamini wana CCM hamna ubongo
IMG_20201031_080552.jpg
 
Dhumuni lao kuu ilikuwa kuiba kura za urais sasa walipopanga mpango wakagundua namba hazita tally. Wakaona waweke na za ubunge ku balance hapo wakagundua na kwenye udiwani kutakuwa na tofauti. Wakapiga tatu mzuka...Urais , ubunge na udiwani.

Matokeo yake unakuta CCM imechukua kata karibu zote Mbeya, Arusha , Kigoma,Dar nk
 
Back
Top Bottom