Uchaguzi 2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

CCM wameunajisi kuulawiti na kuubaka uchaguzi huu
 
Wenzenu walitaka kuakisi kura za SM na uchaguzi huu ili dunia ione wanavyokubalika!!!
Huu unaitwa "mchemko wa karne" hata wao wenyewe wanashangaa ukizingatia MPASUKO WA NDANI ULIOTOKANA NA KURA ZA MAONI...
 
well said; wao walidhani kuwa watu wanamchukia magufuli sana, na ndiyo ilikuwa kampeini ya Lissu. Imekula kwao
Katika watu niliowadharau Lissu na Zitto wako kwenye kundi moja, ni washenzi na wapotoshaji mno. Nchi ilikuwa inaibiwa na walikuwa wanajuwa bcs walikuwa wanapokea hela toka kwa wazungu ili wawatetee, eti wanakuja na hoja za kipuuzi kuwa tukikamata mali zetu (makinikia) tutashitakiwa na kunyimwa misaada na wazungu. Lissu ni wakili ila kwa kweli hana akili, halafu anakuja kugombania urais? Akapakatwe zake huko Ulaya.
 
Hao wazee unaosema wana akili ndio wameshiriki kwenye wizi wa kura kwa kiasi kikubwa kuliko hata vijana kwenye uchaguzi huu wa 2020, sasa sijui akili zao zipo kwenye nin
 
Hakuna uchaguzi bali maigizo ya kaole, ni mwendawazimu pekee atakayekubaliana na uhuni huu wa CCM na Jaji Kaijage.
 
Haiingi akilini kwa watu wastaarabu kumteua kichaa kugombea nafasi ya Urais. Kwa maneno na matendo yake, wakati wa kusaka udhamini na kampeni, amethibitisha kiwango chake cha ukichaa.

Mimi kama mimi nimehifadhi hotuba zake zote ambazo zimejaa majigambo na misifa, dharau, kebehi, kejeli, uzushi na uwongo, na kila aina ya matusi.

Yawezekana hakujua kuwa Wapiga kura wa 1995 siyo wa 2020, na kama alijua basi alidharau. Hivyo basi, walimwona, wakamsikia na kisha wamemwadhibu yeye na kundi zima la upinzani. Hata jimboni kwake, alikomudu kama mbunge, pia wamemwadhibu.
 
Tunaombwa tuombe Mungu sana ili tuweze kuishinda hii hali, kama tulivyoishinda Korona.
 
Bavicha wengi hawajapiga kura. Mmeyataka, ukute hata wewe hujapiga alafu umefungua bakuli lako hapa nyuzi 360
 
Nilikua secondary mwaka 1995 na nilishiriki “kulinda kura” za Mrema bila mafanikio.

Mwaka 1995 na 2010 effort kubwa ilipelekwa kwenye urais ili kuhakikisha Mrema na Dr. Slaa hawashindi na majimboni almost kila Mbunge aliachwa apambane na hali yake, the reason wapinzani walishinda sehemu kadhaa

Tofauti na mwaka huu, maagizo yalikuwa kukomba kila kitu kuanzia Urais mpaka majimboni.

Upinzani hautokaa upewe Nchi hii kwa mfumo wa sasa wa Uchaguzi. Funny enough, viongozi wa Upinzani wanalielewa hili
 
Wewe Mbona huna Akili ni mbumbumbu unawezaje kujua asiye na Akili?
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
CCM bila kumuogopa mungu bila Aibu eti wanasherekea na kuita eti huu ni ushindi, CCM acheni dharau kwa wapiga kura Tambueni kuwa wapiga kura wanajua hawakuichagua CCM Kitendo cha kusherekea kwa kutumia uteuzi wenu wa wakurugenziccm Polisiccm NECCCM Tumeccm kisha kuwasingizia waliwachagua kinawauma sana, hakuna kitu kibaya Duniani kama kusherekea kitu cha wizi kusherekea uporaji wa majimbo Urais kwa njia haramu za kishetani pasipo ridhaa ya wapiga kura ni Dhambi kubwa mno, huu haukuwa uchaguzi bali ni maigizo na vioja vya CCM kuuhadaa ulimwengu kuwa kumefanyika uchaguzi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…