Dhumuni lao kuu ilikuwa kuiba kura za urais sasa walipopanga mpango wakagundua namba hazita tally. Wakaona waweke na za ubunge ku balance hapo wakagundua na kwenye udiwani kutakuwa na tofauti. Wakapiga tatu mzuka...Urais , ubunge na udiwani.
Matokeo yake unakuta CCM imechukua kata karibu zote Mbeya, Arusha , Kigoma,Dar nk