Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hii ipo sana hawa wa michango ya harusi ndio kero sana.Ila ghafla anakupigia kumbe kizinga au kadi ya harusi
Hii ipo sana hawa wa michango ya harusi ndio kero sana.Ila ghafla anakupigia kumbe kizinga au kadi ya harusi
Wewe jamaa tutakupeleka darasa la MEMKWA la Steve Mweusi. Naona umekidhi vigezo vyote! 😄Kuna yule ukianza kumwelezea shida yako, akiona dalili unataka kumuomba msaada anakuwahi kwa kukuhadithia shida yake ambayo ni kubwa kuliko yako (shida ya kutunga) 😂
Kwani kamaliza watu wote si ametaja makundi ya watu wa kuwaepuka! Au mimi sijaelewa!Sasa mtoa mada muache apige Taarabu Labda hajawah kupatwa na shida itakayomfikisha huko
Hili ni tatizo la watu wengi sana! Kuna wale ndugu baba yao alikusomeshaga ukatoboa aisee mbona utasimlia!🥵Kuna watu, hasa ndugu wakikusaidia hata buku kumi, basi siku ukitoboa wewe lazima kila wakikuomba msaada uwasaidie, la sivyo watakuwa wanakukumbusha mara vile walivyowahi kukusaidia 😂
Nyambafu sana watu wa aina hii.
Na mm nasemea hao hao aliowataja, au ww ndo hujaelewa?Kwani kamaliza watu wote si ametaja makundi ya watu wa kuwaepuka! Au mimi sijaelewa!
Mmh! Tafadhal mkuu 😂Wewe jamaa tutakupeleka darasa la MEMKWA la Steve Mweusi. Naona umekidhi vigezo vyote! 😄
Mara ooh! Bila baba yangu asingefika pale.Hili ni tatizo la watu wengi sana! Kuna wale ndugu baba yao alikusomeshaga ukatoboa aisee mbona utasimlia!🥵
Mara paap! MEMKWA imekuhusu!😄Mmh! Tafadhal mkuu 😂
Steven mweusi alinicheki, nikamwambia kwa sasa Mimi ngoja niendelee na kazi yangu ya uchungaji kwanza.Mara paap! MEMKWA imekuhusu!😄
Mpango wa Elimu Msingi Kwa Waliokosa.Sasa ieleze mahakama ninini kirefu cha MEMKWA
Bora umfadhili mbuzi aisee!Mara ooh! Bila baba yangu asingefika pale.
Bila baba yangu angekuwa majalalani.
Ama kweli watu wanasahau walikotoka.
Binadamu ana maudhi bora umfuge mbuzi utakunywa mchuzi 😂
Si wanasa ni elimu ya watu wazima!Mpango wa Elimu Msingi Kwa Waliokosa.
Bila shaka nipo sawa Mkuu!😀
Kumbe wabongo kwa kiasi kikubwa wanafanana kimtazamo ehh!Bora umfadhili mbuzi aisee!