Kabisaa papiKumbe wabongo kwa kiasi kikubwa wanafanana kimtazamo ehh!
Ni raha tupu kuona unaunga mkono hoja yangu pasina makandokando.Kabisaa papi
Unanijua papišNi raha tupu kuona unaunga mkono hoja yangu pasina makandokando.
Mno ma watoto.Unanijua papiš
KabisašMno ma watoto.
Kwa kweli mola atuweke weke hadi baadaye baadaye sana.Kabisaš
Amen šš½Kwa kweli mola atuweke weke hadi baadaye baadaye sana.
Wao ni wahanga wa ChatGPTVijana wetu siku hizi haya mambo hawayajui kabisa
Yes, japokuwa Elimu ya Watu Wazima Ina programs zake....ila hii MEMKWA wengi hawajajua kuitafsiri. Yenyewe imelenga watoto Waliokosa elimu ya msingi, wenye umri wa kuanzia miaka 9 hadi 16Si wanasa ni elimu ya watu wazima!
Aisee! Kumbe umezungukwa na kondoo.Steven mweusi alinicheki, nikamwambia kwa sasa Mimi ngoja niendelee na kazi yangu ya uchungaji kwanza.
Ooh hapo sawa!Yes, japokuwa Elimu ya Watu Wazima Ina programs zake....ila hii MEMKWA wengi hawajajua kuitafsiri. Yenyewe imelenga watoto Waliokosa elimu ya msingi, wenye umri wa kuanzia miaka 9 hadi 16
Yalishanikuta hapa nmeadiwa kwenye magrupu 6 ya michango sijatoa ahadi hata moja kuna nikitathmini uhusiano wetu siuoni kabisa ni watu ambao tunafahamiana tu lakini hatuna ukaribu kwa mda mrefu sana.Sasa jaribu kumpigia mwezi mmoja baada ya harusiššæššæāā
Ndivyo ilivyo.Aisee! Kumbe umezungukwa na kondoo.
Kuna wale kondoo walionona mikia...kazi kwakoNdivyo ilivyo.
Wale Mimi huwatafuna bila wasi.Kuna wale kondoo walionona mikia...kazi kwako