Hata ukwame kiasi gani usipige hizi number

Kuna watu, hasa ndugu wakikusaidia hata buku kumi, basi siku ukitoboa wewe lazima kila wakikuomba msaada uwasaidie, la sivyo watakuwa wanakukumbusha mara vile walivyowahi kukusaidia πŸ˜‚

Nyambafu sana watu wa aina hii.
Hili ni tatizo la watu wengi sana! Kuna wale ndugu baba yao alikusomeshaga ukatoboa aisee mbona utasimlia!πŸ₯΅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…