Hata ukwame kiasi gani usipige hizi number

Utakuwa ni mpumbavu.
Yaani una shida na bado anajitokeza wa kukusaidia , badala ya kupokea msaada unaendekeza grudges za kijinga.
 
Sasa jaribu kumpigia mwezi mmoja baada ya harusi🙌🏿🙆🏿‍♂
Yalishanikuta hapa nmeadiwa kwenye magrupu 6 ya michango sijatoa ahadi hata moja kuna nikitathmini uhusiano wetu siuoni kabisa ni watu ambao tunafahamiana tu lakini hatuna ukaribu kwa mda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…