MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
mamy k endelea na maisha yako mwaya yaan usijiguse kbs kudai talaka,ngj nikupe teknic ambayo itawork out,fanya kila kitu kumhusu mumeo mfano kupika na kufanya kaazii zooote km mke,jipende nyonyo,kuwa updated,yaan kiufupi fanya yako km huna kishughuil tafuta kashughul kokote kale kakukuingizia kipato uza hata genge,tafuta kikoba ,yaan fanya yako mwenyewee atajirudisha kwako,yena usisahau kujipa out mwenyew dadek ,kama unakunywa kunywa zako bia 3 rud ulale,jimpimp had shetani akuonee wivu,hawa wanawaume wanahisig sijui sie hatuna hisia??fanya yako utakuja nuiambia km hataanza kujibamiza kwako mxiew