Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huyu mwenza wangu tulipima kabla hatujaanza mahusiano, wote tulijikuta tuko salama. Baada ya kugundua kuwa ana mahusiano ya ziada nimemtenga. Ameomba msamaha nimemwambia tukapime tena kabla hatujarudisha mahusiano yetu hataki. Lakini bado anadai ananipenda.