Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Hatari kuu inakuja. Wanaume wanatoweka, Wavulana wanaibuka kwa kasi

Mi ndo maana sipendi kukaa na wazee,wazee wa siku hizi nuksi kinyama,mangu kishenzi wachawi kichizi yaani...!!!..huu ni wakati wetu vijana,tunakula gambe,bata,tuna swaggz,tunalewa,tukifika miaka 50 na sisi tutaokoka na tutaanza kuswali daily,mbona nyie enzi zenu za msondo ngoma,enzi za ujana wenu hatukuwaletea mboyoyo mingi???

Kila mtu apambane na hali yake..sisi tunapambana na ujana wetu,na nyie pambaneni na uzee wenu..
Sawa kijana.....
Ila mnapojirundika kwa ndugu wenye mafanikio huku kwenu mkiwa hampataki, msijefikiri hao wenye mafanikio walikuwa wakipaka poda na kupost post insta...

Endelea kula ujana...wazee tutawakazia wake zenu na kuwapa matumizi.

The hell with you.
 
Mi siamini kama vjana wote wapo hivi mbona kuna wengne wachakarikaji na watafutaji wazuri tuu... Tusipendee muda mwingi kuongelea mabaya tu wakati kuna mengne mazuri tuu ya kuyaongelea.....
 
Mi siamini kama vjana wote wapo hivi mbona kuna wengne wachakarikaji na watafutaji wazuri tuu... Tusipendee muda mwingi kuongelea mabaya tu wakati kuna mengne mazuri tuu ya kuyaongelea.....
Hapa hatuzungumzii wale wachakarikaji....tunaongelea mizigo yenye afya tele...ila haibanduki kwa wazazi au ndugu....haitaki kazi...kazi ni kujipodoa na kuvaa minyonyo...kunyoa viduku na kuweka bleach...
 
Kumbe hata hao waliosoma wapo kundi hili
Tena usiombe kukutana na mzigo uliosoma....kuna moja lipo hapa Arusha limetoka hukooo Bukoba ndani ndani....mwaka wa nne sasa yupo kwa mjomba....mjomba anaomba ushauri ampeleke wapi....halitaki kazi. ......anasema anataka kupata kazi aliyosomea....shubamiti...mimi huwa yananiudhi
 
Sawa kijana.....
Ila mnapojirundika kwa ndugu wenye mafanikio huku kwenu mkiwa hampataki, msijefikiri hao wenye mafanikio walikuwa wakipaka poda na kupost post insta...
Endelea kula ujana...wazee tutawakazia wake zenu na kuwapa matumizi.
The hell with you.
Nyie wakazeni ...
Kwani we babu toka ujana wako hadi leo ashawahi kutokea mtu akawa maliza wanawake wote..???

Usiogope mzee wangu huu si wakati wa wewe kuwepo hapa,ilipaswa uwe kanisani au msikitini,unamrudia muumba wako...
 
Sawa kijana...
Endeleeni kujibanza kwa mashemeji zenu...
Siku dada akiwa period, shemeji akidau mzigo usimtose..

Maana hakuna namna nyingine,

We ule bata mwanaume mmwenzako atafute ugali...?
 
kabeba laptop anaenda kuweka movie kwa mshkaji mmoja hivi ana mamuvi balaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Season...
Hayataki kazi ...Asubuhi anakula mkate mzima,,, anarudi kwenye laptop..movie movie na yeye, mchana anapapasa mahotpoti kuangalia kama kimeiva.....manina zao
 
wewe utakuwa ni mmoja wa hawa niliowazungumzia hapa....
Hivi maisha ya leo yalivyo mafupi, mambo yalivyo mengi....unathubutu kusema 29 kurudi chini ni mtoto..? seriously...??

Ungeniambia miaka 20 kurudi chini ni mtoto ningekuelewa.....
Endelea kujifariji....amka usingizini
kua uache...
 
Mkuu binafsi nadhani matured mind inaanzia 25 kwenda juu. Under 25 wake kwa waume huwa bado wana utoto wa balehe kwa asilimia kubwa.
 
Mkuu binafsi nadhani matured mind inaanzia 25 kwenda juu. Under 25 wake kwa waume huwa bado wana utoto wa balehe kwa asilimia kubwa.
Mtoa mada yupo sahihi 100%, mzazi anaempenda mtoto Wake wa kiume huanza kumfundisha kazi tena za shuruti kuanzia miaka 10+. Hata kama ana uwezo kifedha. Binafsi familia yangu hususan watoto wa kiume tulikua tunapelekeshwa na mshua ni balaa.tulikua tunafanya kazi za watu wazima , wakati bado tupo primary 13+. Siku za weekend tunagawiwa hela za kula raha, lakini kibano cha siku tano si mchezo, sasa hivi kila mtu ana mishe zake. Mshua anarushiwa tu za matumizi ingawaje ana vitega uchumi vyake.mtoto wa kiume si mtoto, pale tu akishajitambua.
 
Hao wanawake wanaohitaji wanaume wanaojielewa je wanakidhi vigezo au una base upande mmoja?

Naona mmkekuja . Ndio walio badilisha Jf sahivi na kuifanya ya ajabu ajabu kabisa mada ya muhimu wao wanaleta masikhara mengi , ngoja sasa atoke dada anatafuta mchumba uone maneno ya kejeli na majigambo kama vile wanajua saaana maisha. Kila post lazima a comment hata kama hajui lolote. Poor wavulana .Ngoja wanaume tuwaangalie tuu mwisho wenu.
 
Back
Top Bottom