Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kijana.....Mi ndo maana sipendi kukaa na wazee,wazee wa siku hizi nuksi kinyama,mangu kishenzi wachawi kichizi yaani...!!!..huu ni wakati wetu vijana,tunakula gambe,bata,tuna swaggz,tunalewa,tukifika miaka 50 na sisi tutaokoka na tutaanza kuswali daily,mbona nyie enzi zenu za msondo ngoma,enzi za ujana wenu hatukuwaletea mboyoyo mingi???
Kila mtu apambane na hali yake..sisi tunapambana na ujana wetu,na nyie pambaneni na uzee wenu..
Vijana wetu wa leo...wakishajua kupaka poda na kujisefie...hawapataki tena simiyu...Nani aende simiyu
Hapa hatuzungumzii wale wachakarikaji....tunaongelea mizigo yenye afya tele...ila haibanduki kwa wazazi au ndugu....haitaki kazi...kazi ni kujipodoa na kuvaa minyonyo...kunyoa viduku na kuweka bleach...Mi siamini kama vjana wote wapo hivi mbona kuna wengne wachakarikaji na watafutaji wazuri tuu... Tusipendee muda mwingi kuongelea mabaya tu wakati kuna mengne mazuri tuu ya kuyaongelea.....
Tena usiombe kukutana na mzigo uliosoma....kuna moja lipo hapa Arusha limetoka hukooo Bukoba ndani ndani....mwaka wa nne sasa yupo kwa mjomba....mjomba anaomba ushauri ampeleke wapi....halitaki kazi. ......anasema anataka kupata kazi aliyosomea....shubamiti...mimi huwa yananiudhiKumbe hata hao waliosoma wapo kundi hili
Nyie wakazeni ...Sawa kijana.....
Ila mnapojirundika kwa ndugu wenye mafanikio huku kwenu mkiwa hampataki, msijefikiri hao wenye mafanikio walikuwa wakipaka poda na kupost post insta...
Endelea kula ujana...wazee tutawakazia wake zenu na kuwapa matumizi.
The hell with you.
Sawa kijana...Nyie wakazeni ...
Kwani we babu toka ujana wako hadi leo ashawahi kutokea mtu akawa maliza wanawake wote..???
Usiogope mzee wangu huu si wakati wa wewe kuwepo hapa,ilipaswa uwe kanisani au msikitini,unamrudia muumba wako...
Hao wanawake wanaohitaji wanaume wanaojielewa je wanakidhi vigezo au una base upande mmoja?
Mmesahau nyie ndoo vichwa vya familia? Mwanamke anakuwa vile wewe unataka. Shughuli ni kichwa kikiwa furushi.Umewasahau na wasichana........penye wavulana kuna wasichana pia
kabeba laptop anaenda kuweka movie kwa mshkaji mmoja hivi ana mamuvi balaa.Hyo ni mfano wao na begi lake mgongoni....muulize kubeba nini...hana majibu
Dahhhhh... AiseeYes..kama Arusha wavulana wanafirwa na vibabu vya kizungu vinavyokuja kutalii..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Season...kabeba laptop anaenda kuweka movie kwa mshkaji mmoja hivi ana mamuvi balaa.
kua uache...wewe utakuwa ni mmoja wa hawa niliowazungumzia hapa....
Hivi maisha ya leo yalivyo mafupi, mambo yalivyo mengi....unathubutu kusema 29 kurudi chini ni mtoto..? seriously...??
Ungeniambia miaka 20 kurudi chini ni mtoto ningekuelewa.....
Endelea kujifariji....amka usingizini
Nilishakua...naongea na ambao hawajakua...kua uache...
Mkuu binafsi nadhani matured mind inaanzia 25 kwenda juu. Under 25 wake kwa waume huwa bado wana utoto wa balehe kwa asilimia kubwa.wewe utakuwa ni mmoja wa hawa niliowazungumzia hapa....
Hivi maisha ya leo yalivyo mafupi, mambo yalivyo mengi....unathubutu kusema 29 kurudi chini ni mtoto..? seriously...??
Ungeniambia miaka 20 kurudi chini ni mtoto ningekuelewa.....
Endelea kujifariji....amka usingizini
Chips mayai wanazipenda....usiombe akujambieMimi wananiudhi wanavyokula chips mayai,, yaani ni aibu tupu
Mtoa mada yupo sahihi 100%, mzazi anaempenda mtoto Wake wa kiume huanza kumfundisha kazi tena za shuruti kuanzia miaka 10+. Hata kama ana uwezo kifedha. Binafsi familia yangu hususan watoto wa kiume tulikua tunapelekeshwa na mshua ni balaa.tulikua tunafanya kazi za watu wazima , wakati bado tupo primary 13+. Siku za weekend tunagawiwa hela za kula raha, lakini kibano cha siku tano si mchezo, sasa hivi kila mtu ana mishe zake. Mshua anarushiwa tu za matumizi ingawaje ana vitega uchumi vyake.mtoto wa kiume si mtoto, pale tu akishajitambua.Mkuu binafsi nadhani matured mind inaanzia 25 kwenda juu. Under 25 wake kwa waume huwa bado wana utoto wa balehe kwa asilimia kubwa.
Hao wanawake wanaohitaji wanaume wanaojielewa je wanakidhi vigezo au una base upande mmoja?