Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Unashindwa kuelewa kidogo.

Unaowasema huko nje wanajulikana ametokea wapi pia alishachukua uraia au kazaliwa hukohuko kama Obama.

Mleta uzi anachosema ni kuwa hawa kwetu wanajipenyeza kijasusi maana yake hawana nia njema.

Think out of box
 
Urusi hawana hata baba wa taifa walikuwa marafiki nae. Warusi ni wataifa sana na wazalendo na wanajali sana utu. Sio kama mabepari wanaojijali wao tu.
 
Wewe umejuaje kwamba ni majasusi wanaowekeza?
Kuchukua ardhi ya huku haiwezekani kabisa 100%
 
KUSANYA USHAHINDI, PELEKA KWENYE IDALA YA USALAMA WAONYESHE NA WAELEZE.
USALAMA WA TANZANIA UNAANZIA KWA MWANACHI MMOJA MMOJA, USIKAE KIMYA KAMA UNAONA TATIZO.
 
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.
Hayati Mwl. Nyerere alikuwepo mwaka 1884 Berlin!!?
 
Sema watu wa mbari ya kitutsi ndio tuwe nao hofu na kujihadhari sana. Ni watu wenye tamaa kubwa mno ya utawala na mali. Pia ni wabaguzi wa kimbari na ndio chimbuko la matatizo kwenye eneo lote la maziwa makuu.
Miaka yote hiyi ya kadhia na maafa kwao ilibidi wajifunze kuishi kwa usawa na mbari zingine ili wapate amani.
 
NI WATU WENYE UCHU SANA WA MADALAKA NA TAMAA SANA NA KUJIONA BILA TUSTI PEOPLE , UKANDA HUU UNGEKUWA WA AMANI SANA BRO.
WATUTUSI MJIREKEBISHE MJIFUNZE KUISHI KWA AMANI.
TZ HAPA WAPO WENGI TUU TUNAONA ILA HUKU WAMEJIFUNZA HAWANA DHARAU TUNAISHI NAO TU KAWAIDA.
NA DADA ZAO WANAOLEWA NA WABANTU WA KAWAIDA NA WAMEGOMA KURUDI RWANDA COZ WAMEJIFUNZA KUDHARAU WENGINE SIO VIZURI.
 
Sawa mtusi naona una tetea jamii yenu.
 
Hivi bado Paul Kagame kuomba kujiunga East Africa community ni mjinga?? Si Kenya si Uganda wala Tanzania kote kule Kagame anawapelelezi.
 
Ishu ni wewe unapojifanya una roho nzuri miongoni mwa wenye roho mbaya...
Wenzako wanakugeuza shamba darasa!
 
Mimi nakupa clue tu,
Hoteli ni za nyota tatu na inne, transport ni kampuni zenye semi zaidi ya 300 kila moja,
Real estate ziko mikoa tisa ukitoa zanzibar
Hakuna kitu kama hicho wamiliki wa biashara na matajiri wa Tanzania ni maarufu Tena mikoa yote ukiacha waarabu, wasomali na wahindi hakuna jamii nyingine yoyote iye inayomiliki biashara kubwa tofauti na wazawa
 
ni kweli kabisa, ingawa hii maneno inakuwa exaggerate, kwanza kabisa hao watu hawana madhara ki vileee, kwani wengi wao ni wazariwa hapa hapa Tz tena huku huku kanda ya ziwa ila baadhi yao wana interest zao ndani ya Congo DRC...…..! na pia uwekezaji wao una tija kweli kweli na unawasaidia sana watu wa kanda ya ziwa, hata kama ni kweli PK mwenyewe ana inject money kufadhili baadhi ya hizo biashara ili ku maximaze profit for his own benefit hii kitu haina madhara kwa usalama wa taifa lenu, ebu acheni uoga uoga nyie wa Tz…… tuachieni siye 'wasukuma' tuendelee kufaini maziwa na nyama za ng.ombe wenye mapembe makubwa, huduma za usafirishaji na mahoteli yenye hadhi ya nyota 3 kwa bei ya kishkaji………….
 
Hivi bado Paul Kagame kuomba kujiunga East Africa community ni mjinga?? Si Kenya si Uganda wala Tanzania kote kule Kagame anawapelelezi.
Na nyie wekeni wapelelezi

Dunia uwanja wa vita mzee

Ova
 
Mimi nilishangaa walipotaka kuwapa mkoa wao wa Chato. Hii nchi siku hizi hatupo siriasi.
Bora waje Maana wanajua watz waoga hata silaha hawana.watanzania viongozi wao hawataki hata kuwaona ili wajisevie mazaga.ukiongea unaonekana unaleta taharuki kwa watz.yangu macho acha niendelee kula ugali dagaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…