Hapana..Mambo ya nchi huwezi yajua mzee,we ishi,Tia watoto wazuri..wenye kazi yao hawalali
Uwezo wa hawa jamaa katika miaka ya karibuni unatia mashaka sana. Haya unayoweka hapa ni majigambo tu kama yalivyo kati ya Simba na Yanga.
Panahitajika kuwepo na kukumbusha umuhimu wa eneo hili, na kukaza sehemu zilizolegea.
Hii siyo kazi ya kufanya kwa mazoea tu.